Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na Arsenal mmeshindwa kufikia dau
Maoni yangu
  1. Sisi Chelsea hatutamchukua mchezaji wenu kama mtafikia dau
  2. Pia hatutamchukua kama hatataka kwa hiari yake kuja Chelsea
  3. Mkishindwa kabisa kumchukua, Mykhailo atabadili mwelekeo kwani shauku yake kubwa ni kuja EPL, ila mkiweza kufikia dau la Eur 100M basi mchezaji ni wenu. Ila mjue Shaktar hawatakubali chini ya hapo kwa sababu Boehly ameshamwambia sporting director wa Shkhtar yeye yuko tayari kulipo hiyo pesa
  4. So sasa tunawasubiri ninyi mshindwe. kama ulkikuwa hujui hilo taarifa ya mjini ndio hiyo
Arsenal hatuwez kujiingiza KWENYE Bidding war

Dau tuliloweka mezani Ni package ya €70m

Chelsea had Sasa hawezi kutuma ofa yoyote ,Sababu mchezaji ameshaweka bayana haendi Zaid ya Arsenal

Mwisho wa dirisha anakuja Vizuri kabisa kwa dau Hilo Hilo tuliloweka
 
Attachments

  • 9C01F022-EA14-4CF4-871E-5025D23D578C.jpeg
    9C01F022-EA14-4CF4-871E-5025D23D578C.jpeg
    56.5 KB · Views: 13
Hata Kova hakuna kitu, Beki ni Silva alikuwa anatubeba
Timu nzima approach ya game is poor poor
City wanapass mpira kwa haraka, sisi tunapata mpira tunazubaa nao
City wakipoteza ni msako mchezaji kwa mchezaji wanawahi kukaba kabla hujapasiwa mpira, sisi Chelsea tukipoteza mpira tunabaki kuangalia na kukaba kwa macho. Shit, hata kama tunajenga timu sio kwa mabua kiasi hiki

NAUNGA MKONO HUYU KOCHA ATIMULIWA
Kijana umekuwa na adabu sana Good
 
nilikwambia hapa hatuna kocha, tuna msimamizi wa mazoezi
 
Mtakapoacha tamaa za kukimbilia kila mchezaji mnayemuona sokoni ,mkajenga Timu kwa wachezaji wanaofaa kwenye mfumo ,ndipo mtasumbua Sana

Ila hii kila mchezaji mnamtaka ,hamjui atatumika wapi itawagharimu

Hata Roman hakuwa na usajili wa kijinga Kama wa Toddy, Roman alimtumia yule mama kusajili kwa akili na kufuata Falsafa ya Mwalimu
 
Hata Kova hakuna kitu, Beki ni Silva alikuwa anatubeba
Timu nzima approach ya game is poor poor
City wanapass mpira kwa haraka, sisi tunapata mpira tunazubaa nao
City wakipoteza ni msako mchezaji kwa mchezaji wanawahi kukaba kabla hujapasiwa mpira, sisi Chelsea tukipoteza mpira tunabaki kuangalia na kukaba kwa macho. Shit, hata kama tunajenga timu sio kwa mabua kiasi hiki

NAUNGA MKONO HUYU KOCHA ATIMULIWA
Kova ashachoka hawezi pambana afu wengine warelax tu
 
Roman alikuwa akiweka €200m sokoni lazima timu hiyo isumbue

Sasa huyu Toddy had Sasa katumia €400m+ madirisha mawili ,ila timu inacheza Kama Gwambina ya pastor athanas

Toddy kila mchezaji mzuri anamtaka ,

Roman mwenyewe hakujenga timu kihuni hivo , mchezaji aliyemtaka alitua ,sio kuingilia kila mchezaji anayetakiwa sokoni

Raphina

Kounde

Josko

MUDRKY

Thuram

N.k
 
Hata Kova hakuna kitu, Beki ni Silva alikuwa anatubeba
Timu nzima approach ya game is poor poor
City wanapass mpira kwa haraka, sisi tunapata mpira tunazubaa nao
City wakipoteza ni msako mchezaji kwa mchezaji wanawahi kukaba kabla hujapasiwa mpira, sisi Chelsea tukipoteza mpira tunabaki kuangalia na kukaba kwa macho. Shit, hata kama tunajenga timu sio kwa mabua kiasi hiki

NAUNGA MKONO HUYU KOCHA ATIMULIWA
If ni kumfukuza kocha baadh ya wachezaj hawatakiwi kubaki,
 
Roman alikuwa akiweka €200m sokoni lazima timu hiyo isumbue

Sasa huyu Toddy had Sasa katumia €400m+ madirisha mawili ,ila timu inacheza Kama Gwambina ya pastor athanas

Toddy kila mchezaji mzuri anamtaka ,

Roman mwenyewe hakujenga timu kihuni hivo , mchezaji aliyemtaka alitua ,sio kuingilia kila mchezaji anayetakiwa sokoni

Raphina

Kounde

Josko

MUDRKY

Thuram

N.k
Huwa nasema siku zote hapa , huwez tumia 300M kwa wachezaj ambao unajua kabis kocha huyo utamtimua.

Now tumekuwa wabov kuliko hata msim uliopita.
Badala ya kutatua matatizo ya team kwa kusajil wachzaj sahihi na watakaondana na mfumo wenyewe yeye anasajil tu

Todd Boehly n Eghbal wameturudisha nyuma sana kwa maamuzi yao ya kukurupuka.
 
Ukweli mchungu, If hatutotatua tatizo hata tukimfukuzq Potter tutaendelea na cycle ile ile tunapata matokeo ndan ya mda mfupi baada ya msim mwingine tunarudi kule kule.

Kuna wachezaj hawafai kuvaa hizi jersey.
Screenshot_20230108-211559_Twitter.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom