lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,709
- 25,953
Na Arsenal mmeshindwa kufikia dauMnapoteza muda tu
MCHEZAJI kila Siku analilia kuja Arsenal
MCHEZAJI alifanya interview akasema hata Madrid haendi
Maoni yangu
- Sisi Chelsea hatutamchukua mchezaji wenu kama mtafikia dau
- Pia hatutamchukua kama hatataka kwa hiari yake kuja Chelsea
- Mkishindwa kabisa kumchukua, Mykhailo atabadili mwelekeo kwani shauku yake kubwa ni kuja EPL, ila mkiweza kufikia dau la Eur 100M basi mchezaji ni wenu. Ila mjue Shaktar hawatakubali chini ya hapo kwa sababu Boehly ameshamwambia sporting director wa Shkhtar yeye yuko tayari kulipo hiyo pesa
- So sasa tunawasubiri ninyi mshindwe. kama ulkikuwa hujui hilo taarifa ya mjini ndio hiyo