juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Km tunajenga team mpe potter mda n toa takataka zote na sajil wachezaj watakaoendan na falsafa zake baada ya hapo ndio ahukumiweSio wote, shabiki akishakuwa na mzigo wa mawazo anataka chochote
Kwenye huu ujenzi TT ni moja wa kocha tusiyemuhitaji kabisa