Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Imagine mnafungwa na hawa watu wako nje.
IMG_20230108_212523_874.jpg
 
Roman alikuwa akiweka €200m sokoni lazima timu hiyo isumbue

Sasa huyu Toddy had Sasa katumia €400m+ madirisha mawili ,ila timu inacheza Kama Gwambina ya pastor athanas


Toddy kila mchezaji mzuri anamtaka ,

Roman mwenyewe hakujenga timu kihuni hivo , mchezaji aliyemtaka alitua ,sio kuingilia kila mchezaji anayetakiwa sokoni

Raphina

Kounde

Josko


MUDRKY

Thuram

N.k
Mbona sisi washabiki wa Chelsea FC tumetulia kama maji ya mtungini tukiamini inshu ya timua timua Makocha na mafanikio ya haraka haraka tulishazika rasmi tangu Old Boss Abraham auze timu?

We mshabiki wa Arsenal FC kwanini uteseke na timu isiyokuhusu, au ndiyo maisha bila unafki hayaendi?
 
Hata aje nani, bila kutatua shida zinazotukabil bado tutaangaika.

After winning ucl, tukaona shida ni cf, tukamsajil Lukaku tukihis tushasolve tatizo kilichotokea kila mtu anakijua.

Msim wa 2 wa lampard tukaleta havertz,werner,ziyech, shida ikawa pale pale .

Tunaignore matatizo yanayotukumba tunajikuta kwa kocha,matatizo halisi hatuyatatui zaidi ya kufanya panic buying summer,

Bila kuweka kuandaa team vizuri na kuwa na proper recruitment tutaendelea kulalamika,

City anatawala leo hii coz aliweka msingi mzuri kuanzia kwenye scouting mpk kwenye usajili.
Sisi hata wakat tuko imara stil tulishindwa tengeneza msingi mzuri. No wondor ni miaka 5 now imepita hatujawah hata pigania premier league coz kuchukua premier inahitaji uwe imara na si kubahatisha kama cups na ndio maana ni ngumu hata kurepeat performance ya cup/ucl katika league

Tunaendelea kukumbatia baadhi ya wachezaj na wengine tunataka tuwaongezee mikataba wakat ndio sumu.
 
Imagine mnafungwa na hawa watu wako nje.View attachment 2474117
Washabiki wa Arsenal FC mnajifariji sana, kwahiyo mnataka kila mwaka Chelsea ndiye awe Bingwa, au hamjui hata sasa hivi Dume la kombe la klabu bingwa wa dunia ni Chelsea FC?

Ebu pambaneni nanyi huko mje mkae MEZA KUU na vidume vya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA SUPER CUP, WORLD CLUB CHAMPIONS, EUROPA LEAGUE la sivyo nanyi hamna tofauti na Mwa-City tu/Underdogs [emoji16]
 
Potter is a foolish and clueless coach..... Our last match with Manchester City, the second half of the this game was awesome. He made foolish selection, we need a better coach. I don't see anything in this man.......you hear some poor understanding fans saying its a project trust the process very stupid we ur declining every another day.........Blues need anew coach swallow your praid and bring back TT
 
If ni kumfukuza kocha baadh ya wachezaj hawatakiwi kubaki,
Wachezaji wa kuondoka wataondoak tu sio kwa sababu ya Kocha.
Mimi naamini katikati kumeoza kabisa hata saa nyingine kocha anaonekana hafai ni kwa sababu ya middle wetu
Kule mbele Fofana ameoma mipira akiwa kwenye golden pos hapewei. Chelsea kila mchezaji anataka ushujaa wa binafsi. Falsafa na demand ya kocha ni poor. hapo ndipoo kocha mwingine sasa itabidi tu no way. GP hakuna kuuza sura, hata kama anapendeza sana itabidi tu aje mwingine wa kutupa matokeo

Mfumo pia wa kumpa Mmiliki kuwa na direct effect inaweza ikaiadhiri timu, yule jamaa Todd kawa kama dictator fulani ambaye wengine wanamuangalia tu akihangaika, akikosea hakuna wa kumkosoa ili kibarua chake kisiote ndago

Tajiri awe mbali na manejimenti ya timu. Tuwe na timu neutral ya wataalamu wenye uwezo wa kuipeleka timu mbali zaidi

Chalobah aruhusiwe tu kwenda kujaribu kamari yake kule kwingine mbali na Chelsea. Hafai kukaba kabisa. Ni bora auzwe halafu Levis Colwill arudishwe aje kusaidiana na hao mabeki wengine

Tumuajiri kocha kwa kuchukulia benchmark ya hao wengine waliofaulu hasa PEP
 
Washabiki wa Arsenal FC mnajifariji sana, kwahiyo mnataka kila mwaka Chelsea ndiye awe Bingwa, au hamjui hata sasa hivi Dume la kombe la klabu bingwa wa dunia ni Chelsea FC?

Ebu pambaneni nanyi huko mje mkae MEZA KUU na vidume vya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA SUPER CUP, WORLD CLUB CHAMPIONS, EUROPA LEAGUE la sivyo nanyi hamna tofauti na Mwa-City tu/Underdogs [emoji16]
Tunapenda mnavyoumia mana mna jeuri sana.

Na muendelee hivyo hivyo na vipigo mpaka akili ziwakae sawa.. shabbashh!!
 
Auba atolewe kafara January hii ili timu ifufuke
Tufuate mbinu za Arteta
 
Potter adai apewe muda kama PEP aijenge timu. Adai wamiliki ni mabilionea ambao wako smart kuliko yeye na hivyo wanelewa changamoto ambayo timu inapitia na mwelekeo tunakotaka kwenda.

Graham Potter hopes Chelsea’s owners will give him time to get things right — just as today’s FA Cup third-round opponents Manchester City did with Pep Guardiola.

After a dismal run which has seen the Blues win just one of their last eight Premier League games, Potter is already feeling the heat at Stamford Bridge. Some Chelsea fans don’t think him up to the task and he knows that, during the past two decades, when Roman Abramovich owned the club, that kind of sequence would have been more than enough to get him the sack.

Potter is honest and humble enough to accept he hasn’t got every single call right since replacing Thomas Tuchel in September. But the 47-year-old is adamant he is the right man for the job and insists he wouldn’t have left Brighton if he didn’t think Todd Boehly, Behdad Egbahli and the rest of the board would give him the backing he needs to lead the club into the post-Abramovich era.

Potter said: “The owners are billionaires, so they are quite smart. Smarter than me, for sure.

“So they understand the challenges we have and the direction we want to go in. I’ve been here four months and five or six weeks of that have been lost to international football.

“Pep was at Manchester City a year before they won anything and Mikel Arteta and Jurgen Klopp took a bit of time. Maybe it’s different for me, for some reason,” he added, defiantly. "But I don’t put a timescale on it.

“I know the responsibility we have but also I know that I am capable.”

Asked if he felt lucky to be at Chelsea at a time when there isn’t a revolving manager’s door, he said: “I would always feel lucky to be at Chelsea as I feel grateful and privileged to be here.

“I understand where you’re coming from but there’s a completely different ownership now and this is hard for people to get their head around as Chelsea, for 20 years, has been one thing and now, all of a sudden, it’s different.

“But, again, the reason to take the job was because you’ve got a chance to shape a club that is in a massive transitional period and, with that, I knew there would be extreme challenges.

“It’s not like I was jumping at the first opportunity to leave Brighton. I had other opportunities to leave but this one felt like the right one because of the owners, because of the support that they would give, and that has proven to be the case.

“I’m not naive enough to think that if you’ve had the results we’ve had there’s not going to be some criticism and negativity, it would be strange to think that.

“Again, I’m not sitting here as some egomaniac who has all the answers and gets everything right.
 
Kusema ukweli bora tumetolewa kwenye haya mokombe ya mbuzi, yangetupotezea muda na hili timu letu mbovu. Bora sasa tuweke mkazo kwenye Europa mwakani. Ndio route pekee ya kubeba kombe mwakani.

Haya ni maoni yangu, sijaquote popote
 
Wachezaji wa kuondoka wataondoak tu sio kwa sababu ya Kocha.
Mimi naamini katikati kumeoza kabisa hata saa nyingine kocha anaonekana hafai ni kwa sababu ya middle wetu
Kule mbele Fofana ameoma mipira akiwa kwenye golden pos hapewei. Chelsea kila mchezaji anataka ushujaa wa binafsi. Falsafa na demand ya kocha ni poor. hapo ndipoo kocha mwingine sasa itabidi tu no way. GP hakuna kuuza sura, hata kama anapendeza sana itabidi tu aje mwingine wa kutupa matokeo

Unakumbuka uliwah sema tuchel hana falsafa, ila kiukwel kwa wachezaj tulionao hakuna kocha atakaweka falsafa zake zikaeleweka.

Team ni kiungo, kiungo kikiwa vizuri unachance kubwa ya kushinda, ila team kama kiungo kiko vibaya kama cha kwetu hata aje nani kwa kiungo kile tutamuona kocha hafai kama jinsi tulivyomuona Tuchel hafai.
 
Kusema ukweli bora tumetolewa kwenye haya mokombe ya mbuzi, yangetupotezea muda na hili timu letu mbovu. Bora sasa tuweke mkazo kwenye Europa mwakani. Ndio route pekee ya kubeba kombe mwakani.

Haya ni maoni yangu, sijaquote popote
Makombe kama hayo ndio yalitufanya tuamin tuna team nzuri.

Team nzuri siku zote huwa inaonekana kwenye mashindano yote.
 
Makombe kama hayo ndio yalitufanya tuamin tuna team nzuri.

Team nzuri siku zote huwa inaonekana kwenye mashindano yote.
Kwa huu ujenzi hatuhitaji kuwa potepote, timu ingekuwa nzuri sawa. Mtaka yote hukosa yote. Twende na nafasoi ya Europa kwenye ligi

Hata kwenye maisha ukitaka kuwa kila sehemu wakati hali yako ni duni utapotea kabisa
 
Unakumbuka uliwah sema tuchel hana falsafa, ila kiukwel kwa wachezaj tulionao hakuna kocha atakaweka falsafa zake zikaeleweka.

Team ni kiungo, kiungo kikiwa vizuri unachance kubwa ya kushinda, ila team kama kiungo kiko vibaya kama cha kwetu hata aje nani kwa kiungo kile tutamuona kocha hafai kama jinsi tulivyomuona Tuchel hafai.
Falsfa inaendana na uwezo wa kocha na ubora wa wachezaji
Chelsea inachotakiwa aletwe kocha mwenye falsafa ambapo ndani yake kuna ukatili na high pace. Ndipo apewe support na tajiri kama ilivyokuwa kwa PEP, alipewa pesa akafagia matakataka yaliyovaa jezi bila kuitendea haki

Kocha pekee ninayemuona anayeweza kuingioa kwenye level ya PEP ni Conte. Boehly badala ya kunuanua kila mchezaji angeenda kumshawishi Conte aje Chelsea kwa sababu Conte hajaridhika na project ile ya Spurs. Matajiri hawana mshiko. Na Conte ni kama PEP hawezi kwenye kwenye project ambayo matajiri hawana pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom