Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Katika makocha wote waliopita Chelsea Potter anaongoza kwa ubovu hakuna project itakayofanikiwa akiwepo uwezo wake mdogo hamna tofauti na Moyes

Hawa makocha wa kiingereza ni bure kabisa angalau fabio capello alifanikiwa kidogo kibaya zaidi tumepata tajiri asiye na uelewa na mambo ya mpira anakulupuka tu kufanya mahamuzi
Tulikurupuka mwanzon kumfukuza Tuchel, Na baadala ya kumuappoint mtu ambae yuko katika level ile ile Tukaenda kumuappoint mtu ambae yuko level ya chini sanaaaa.
Na cha ajabu zaidi tukampa mkataba wa miaka 5, wenye thaman yq 50M.

We all know what happen to David Moyes, wakat yuko Everton he was superb, ila alivyochaguliwa kama manager United, the rest is history.
 
Hv we jamaa unaongea nini wewe? Moja ya jukumu la kocha Bora ni kustruggle katika mazingira magumu , kutafta matokeo ukiwa na Kikosi kibovu , lazima uonyeshe matumaini ya kuivusha timu japo Kwa kuchechemea , Potter Hana hyo chembe hata kidog , mechi 9 unafungwa 5 , draw 3 , unashinda 1, hamna kocha pale anatakiwa afukuzwe hata jioni ya Leo angalau kurescue morally ya wachezaji
, mtashusha timu daraja kizembe Sana ..... Kocha mwenye akili hawezi pata matokeo Yale regardless wachezaji ni wabovu Kias gan , na pia makocha wengi kwenye upenyo wa dirisha hili la January hukimbizana angalau kuokota wachezaji walio huru au Kwa mkopo ili timu iende mpak mwisho wa msimu .....

Hata kama fungu linatoka ni Kwa ajili ya mtu ambaye anaonyesha matumaini , huwez ondoa wachezaji hao wote na ulete wapya ni suala la miaka miwili mpak 3, Kwa mwenendo wa kocha huyo , hyo reformation atafanya akiwa championship
Hii ni Arsenal msim uliopita, n now wakoje?

Tulikosea tangu tunamfukuza Tuchel, badala ya kumrithi na mtu anaemzidi au aliye katika level sawa, tukamreplace na mtu ambae hayuko hata karib na level ile ile.

Niliwah kuhoji hapa wakat tunqmfukuza tuchel, je tunamfukuza kocha huku hatuna hata recruitment team, kipi tunachotaka?
20230101_230157.jpg
 
Tulikurupuka mwanzon kumfukuza Tuchel, Na baadala ya kumuappoint mtu ambae yuko katika level ile ile Tukaenda kumuappoint mtu ambae yuko level ya chini sanaaaa.
Na cha ajabu zaidi tukampa mkataba wa miaka 5, wenye thaman yq 50M.

We all know what happen to David Moyes, wakat yuko Everton he was superb, ila alivyochaguliwa kama manager United, the rest is history.
Inabidi tupate kocha anayeheshimika na wachezaji na tubadili structure awe manager sio head coach. Maana tuna kundi la wachezaji wenye viburi ambao hawakawii kumzoea kocha na kutokujituma,TT nilimuona kama tumepata kocha sahihi ila kilichomshushia heshima ni sajili alizofanya ila angekuwa na Technical team nzuri ni bonge la kocha
 
Wa kwanza ni Jorginho, yaani mimi simpendi Jorginho kabisa pale alivyomsema vibaya TT
 
Jana nimeangalia ile mechi dk 85,

Nilicholiona kinasikitisha sana, yaani wachezaji wanacheza kama wazee, wanasubiri mpira uwafuate miguuni speed na kujituma hakuna, mashambulizi yao ni ya kurudisha nyuma badala ya kupiga hata majalo mbele. Huu mfumo wa back pass ni mbovu sana hasa unapokutana na wachezaji wavivu kama tulionao. Mara mia direct football.

Potter naye ni tatizo ni heri angepiga bench wachezaji wote wanaojiona mafadha pale Chelsea na kuweka kizazi kipya hapo hata tukifungwa tunajua tuko kwenye kujenga timu.

Kuanza upya si ujinga, timua kocha timua hizo takataka zinazojiona ni mafadha Anza na kocha mpya na wachezaji wapya pamoja na academy graduates hapo kama shabiki wa Chelsea nitavumilia matokeo maana najua tupo kwenye building.

Lakini kuendelea na building ya aina hii wakati tunachanganza kizazi kipya na cha kale ni hatari maana kabla kizazi cha kale hakijaisha kinakuwa kimeishalisha sumu kizazi kipya hivyo vimelea vya tabia ya kivivu itakuwa ni ya kulithishana.
 
Kinachonichosha ni kusema kuwa ana support ya uongozi ila hafanyi maamuzi yoyote kuonesha kama anasupport na uongozi.

Arteta aliyekuwa na support anauongozi, alifanya maamuzi magumu kwa kumtoa Auba, kwenye kikosi ila sisi sasa support unasema unayo ila hufanyi maamuzi magumu kuonesha kuwa unasupport ya uongozi
 
Mimi na marafiki zangu wa mtaani, tunaandika barua ya kuomba mechi na chelsea tujipime, kama bado mpira upo mguuni. 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔💔💔💔
Chelsea come on.

Hebu jikazeni ,
Ona hadi akina Makaveli waliocheza Mpira enzi wako kindergarten, wanataka kucheza na Chelsiii na si ajabu Chelsiii ikapigwa .
 
Jana nimeangalia ile mechi dk 85,

Nilicholiona kinasikitisha sana, yaani wachezaji wanacheza kama wazee, wanasubiri mpira uwafuate miguuni speed na kujituma hakuna, mashambulizi yao ni ya kurudisha nyuma badala ya kupiga hata majalo mbele. Huu mfumo wa back pass ni mbovu sana hasa unapokutana na wachezaji wavivu kama tulionao. Mara mia direct football.

Potter naye ni tatizo ni heri angepiga bench wachezaji wote wanaojiona mafadha pale Chelsea na kuweka kizazi kipya hapo hata tukifungwa tunajua tuko kwenye kujenga timu.

Kuanza upya si ujinga, timua kocha timua hizo takataka zinazojiona ni mafadha Anza na kocha mpya na wachezaji wapya pamoja na academy graduates hapo kama shabiki wa Chelsea nitavumilia matokeo maana najua tupo kwenye building.

Lakini kuendelea na building ya aina hii wakati tunachanganza kizazi kipya na cha kale ni hatari maana kabla kizazi cha kale hakijaisha kinakuwa kimeishalisha sumu kizazi kipya hivyo vimelea vya tabia ya kivivu itakuwa ni ya kulithishana.
Jana hasa kipindi cha kwanza wachezaji wanakaba na kupress kwa macho halafu kuna kocha anakaa pale kwenye benchi akijiita kocha.
Wachezaji hawana maelekezo ya kocha, Fofana aliomba pasi kutoka kwa omari elijah yuko kwenye golden position yeye anabutua kwenda mbele
Foward wetu wanataka umaarufu binafsi na sio wa timu
Hata aje Haaland hatafunga kwa sababu watu ni wabinafsi mmno
Pale city wameamriwa wote kumpa Haaland mipira na ndicho wanachofanya
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔💔💔💔
Chelsea come on.

Hebu jikazeni ,
Ona hadi akina Makaveli waliocheza Mpira enzi wako kindergarten, wanataka kucheza na Chelsiii na si ajabu Chelsiii ikapigwa .
Nakuhakikishia hawatufungi hawa mambwiga,
Nimetundika daluga, miaka mi5 iliyopita, nikitafuta wale mafundi wenzangu, tukapiga jalamba la nguvu, wiki 3 tu zinatosha, ya 4 tunaanza kuwasikiliza wao, hata wakituamsha ssaa 8 usiku kwa kutushitukiza hawatufungi ng'oo

Yaani mie nikasirike nile winga ya kushoto ndio babu masulupwete anizuie, niamue kucheza 8/10 pale kati natamba mimi tu, napiga pasi makkah huku naangalia madina.. Napiga pasi mtwara macho yanatizama kigoma mwisho wa reli. 😂 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom