DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Mimi nimetaja wapi afukuzwe kwa sababu ya kufungwa na Arsenal, unaniwekea maneno ndg. Sababu za kimantiki nimetoa na naona huajazisoma umekurupuka tu. Mimi sababu kuu ni ile ya kuwasema wachezaji kwenye mediaHamna hoja hapo hapo kusema tuchel kufukuzwa Lisa eti Jana tumefungwa 4 umekosea sana.tuchel ni Kocha mzuri Sana mbona Liverpool walifungwa 4 msimu uliopita walikosa kuchukua EPL na uefa je kocha wao afukuzwe?
Every mact Chalobah anazingua siku hizi, akinyimwa muda anasema anataka kuondokaGoal la kwanza chalobah kazingua
La 2 mendy badala ya kuclear mpira mbali
La 3 offside
La 4 poor marking
Muda wenu wa kujinafasi bana, ila ligi ikianza mtafyata mikia kama kawaida yenu
Ni rebound ambayo saka alikuwa katika offside positionGoli la 3 sio offside Ni rebound
Hao vijana wadogo hadi waje kupata experience wameshaigharimu timu1st goal - Boko la ChalobahView attachment 2302335
Saka kaotea, sijui kanuni ipi walitumia, rebound ya kipa kwenda kwa mchezaji aliyeotea wakati originally mpira ulitoka kwa oponent ni offside3rd goal - Alonso na Azip wanacheza huku wanawaza kwenda Barcelona. View attachment 2302341
Hichi kitu kinakuwa taratibu naona kocha amekosa mawasiliano mazuri kwa baadhi ya wachezaji ukiangalia point yao wanasema hawana furaha na timuMimi nashauri pia kocha asimamishwe kazi
Naona ameanza kuongea vibaya kwenye media kuhus wachezaji.
Hata kama mchezaji anakosea ukimkosoa kwenye media ni sawa umewaudhi wote kwa sababu wachezaji dressing room wanakuwa kama watoto wa mama mmoja, wanapendana, wanateteana. wakiamua kususa wanasusa pamoja. hii hali tukianza nayo EPL tutafungwa sio wka sababu tuna wachezaji wabovu ila morale itakuwa chini
Nashauri Kocha abadilishwe
Zoezi la kuwaondoa matakataka liende sawa na la kumbadilisha kocha kwa sababu mahusiano yake na wachezaji baadhi sio mazuri
Tuanze upya kila kitu
Pia ukumbuke tangu enzi za Roman hakuna kocha aliyeweza kukaa chelsea zaidi ya misimu miwili bila kufanya vibaya na hawa wachezaji tunaona wabovu akija kocha mpya wanafanya vizuriHatuwez badilisha kocha, Tuchel ni mzuri ila wachezaj tuloonao ni quantity na si quality
Kila tim inayofanya vizuri inaondoa wachezaj waliokuwepo na kuweka wachezaj wanaoendana na falsafa ya kocha.
Angalia hata Arsenal ni wachezaj wachache ambao wapo kwa kikos Alichokichukua Arteta kutoka kwa Unai emery
Tukubal tim yetu imejaza matakataka, tunahitaj Rebuild
Hichi unachokisema kina ukweli ndani yake na mm nakubaliana na ww ngoja tuone matokeo yakeAsipoondolewa sasa ataondolewa ligi ikianza kwa sababu tutayaona matokeo ya haya mashabulizi ya kwenye media. Kama wachezaji wanahitaji kushtuliwa mpaka kwenye media? SIjawahi kuona kocha anayeshambulia wachezaji wake kwenye media akabaki salama. SIJAWAHI!
Hakuna timu inayofanya vibaya ikafukuza wachezaji wake bali kocha ndio anawajibika hiloUpo sahihi kabisa nashangaa mtu anaelalamikia kocha wakat tim imejaa matakataka mengi
Yani quantity ni kubwa kuliko quality iliyopo.
Hii fumbia fumbia macho ndio inatufanya tusiwe na uwexo wa kushindana premier league
Tujenge team kupitia maono ya kocha, tofaut na hivyo kwa wachezaj waliopo hata awe nani tutastruggle baada ya msim mmoja .
Mazoezi mengine haya hapaMimi nimetaja wapi afukuzwe kwa sababu ya kufungwa na Arsenal, unaniwekea maneno ndg. Sababu za kimantiki nimetoa na naona huajazisoma umekurupuka tu. Mimi sababu kuu ni ile ya kuwasema wachezaji kwenye media
Mfano kwa sasa majibizano ya TT na Werner sioni kama TT katumia busara, wachezaji au mchezaji kama ana shida kocha aongee naye face to face sio kumsema kwenye media, point yako imesimamia hapo kwenye media
Kufungwa jana si kama kufungwa mazoezini, it is not a big deal
Huyu kapigwa kikoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]3rd goal - Alonso na Azip wanacheza huku wanawaza kwenda Barcelona. Jognho bana anakaba kwa macho. View attachment 2302341
Haya basi tufanye 3,Saka kaotea, sijui kanuni ipi walitumia, rebound ya kipa kwenda kwa mchezaji aliyeotea wakati originally mpira ulitoka kwa oponent ni offside
Hilo ni swala la mda mrefu la kutengeneza timu na je sisi mashabiki tutakuwa na uvumilivu kuona timu inapokea vipigo kila siku tukiwa na imani tunatengeneza timu ya misimu miwili au mitatu ijayo kitu ambacho Roman hakutaka hilo[emoji117] Chief Kuna makocha wa kufukuzwa kwa sasa ila sio TT.
[emoji117] Na TODDY BOEHLY akimfukuza TT kwa sasa, basi atakuwa ameivamia tasnia ya mpira na hatopata mafanikio yoyote.
[emoji117] Wengi wa Mashabiki kote duniani tunataka TT apewe nafasi ajenge timu ya ndoto yake ambayo kila mpinzani ataogopa kucheza nayo kama anavyosema, baada ya ujenzi huo hapo ndio tunaweza kumjudge kwa uwezo wake kama kocha.
[emoji117] Sajili halali za TT mpaka sasa ni Sterling na Koulibaly bado sajili sio chini ya 5 zakufanya.
[emoji117] Tunataka kwanza TT aondoe wachezaji mizigo, atusajilie maeneo mengine ya kimkakati kwa maono yake, ambayo anaona yanamkwamisha kwa sasa.
[emoji117] Kwanza TT ameshaprove ni bonge la kocha, Kutupa UCL ndani ya miezi 3 + UCL super cup + Club bingwa wa dunia.
[emoji117] Tumpeni heshima huyu mwamba naimani atatusukia kikosi cha kuwalipua City na Liver pale juu.
Keeping unhappy bunch of people is a self destruction.Hichi kitu kinakuwa taratibu naona kocha amekosa mawasiliano mazuri kwa baadhi ya wachezaji ukiangalia point yao wanasema hawana furaha na timu
Hili jambo linaweza kutufanya tukawa na msimu mbovu kuwahi kutokea ingawa ni bado mapema lakini tayari lishaanza kuonekana
Player powerPia ukumbuke tangu enzi za Roman hakuna kocha aliyeweza kukaa chelsea zaidi ya misimu miwili bila kufanya vibaya na hawa wachezaji tunaona wabovu akija kocha mpya wanafanya vizuri
Halaf baada ya msim mmoja hali inajirudia utasema shida ni kocha kila wakat au wachezaj tulionaoPia ukumbuke tangu enzi za Roman hakuna kocha aliyeweza kukaa chelsea zaidi ya misimu miwili bila kufanya vibaya na hawa wachezaji tunaona wabovu akija kocha mpya wanafanya vizuri
Pep hakuhitaji misim 2 ili atengeneze tim yake msim mmoja tu baada ya kurithi kikos alichokikuta baada ya msim kuisha akaanza leta wachezaj wakeHilo ni swala la mda mrefu la kutengeneza timu na je sisi mashabiki tutakuwa na uvumilivu kuona timu inapokea vipigo kila siku tukiwa na imani tunatengeneza timu ya misimu miwili au mitatu ijayo kitu ambacho Roman hakutaka hilo
Ni jambo zuri kutengeneza timu ila linaweza kufanya kazi au likashindwa na kupotea mazima kuwa Top team mpaka kuwa ya kawaida kama tunavyoona Arsenal sasa