Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe nani? Mvunja Kuni TU wewe eti unapinga maamuzi ya jopon la watu wenye akili timamuToa uchale wako huko
Tutambua kwamba mmefurahi sana Tucheliban kufurushwa.

Ila naomba niwaambie huyu kocha mpya match ijayo akifungwa tunamtimua na kuleta mpya.
 
Tutambua kwamba mmefurahi sana Tucheliban kufurushwa.

Ila naomba niwaambie huyu kocha mpya match ijayo akifungwa tunamtimua na kuleta mpya.
Hahahahahahaha hapana mkuu, najaribu kumweleza kijana apache ujuaji mbele ya wajuvi..,..
 
Kuna mambo mengi yaliyojitokeza hata kabla ya TT kufukuzwa kwanza kilikuwa na mvutano kuhusu Lukaku wa Wamiliki na TT, Ronaldo na treatment ya TT dhidi ya wachezaji vijana kuwa mbovu, pamoja na mivutano hiyo the end Wamiliki wakaamua kushusha mabega chini na wakamtii TT ili waone TT ataipeleka wapi team msimu ulivyooanza team ikawa achezi vizuri si tu hatupati matokeo mazuri pekee hata uchezaji wetu ni mbovu, kuna wakati baadhi ya wachezaji wakawa wanalalamika mbinu za kocha, TT pia akawa awaamini vijana japo kasajiliwa na Wamiliki na siku zinavyozidi TT anadizi kupoteza dress room na huku akiendelea kupata matokeo mabaya.Baada ya Wamiliki kuona sera yao ya kutengeneza kikosi kizuri chenye mkusanyiko wa vijana na wakongwe hawaoni ikifanyika chini ya TT na mambo mengine niliyotaja ndio wakaona muda sasa wakufukuza
Ongeza mvutano wake na Werner na Ziyech na baadhi ya wachezaji ambao hawako happy pale darajani, ikasababu sehemu kubwa ya dressing room imuaisolate kocha na dressing room
 
Tutambua kwamba mmefurahi sana Tucheliban kufurushwa.

Ila naomba niwaambie huyu kocha mpya match ijayo akifungwa tunamtimua na kuleta mpya.
Ha ha ha nimecheka sana mkuu kwamba akifungwa nae kibarua chake amekiweka rehani
 
Hela zimemwagwa na mwekezaji mpya ila mafanikio hakuna.....

Chelsea's big-spending summer​

  • Raheem Sterling - £47.5m
  • Kalidou Koulibaly - £34m
  • Omari Hutchinson - free
  • Gabriel Slonina - £12m
  • Carney Chukwuemeka - £20m
  • Marc Cucurella - £63m
  • Cesare Casadei - £16.6m
  • Wesley Fofana - £75m
  • Pierre-Emerick Aubameyang - £10.3m
  • Denis Zakaria - loan
 
Hela zimemwagwa na mwekezaji mpya ila mafanikio hakuna.....

Chelsea's big-spending summer​

  • Raheem Sterling - £47.5m
  • Kalidou Koulibaly - £34m
  • Omari Hutchinson - free
  • Gabriel Slonina - £12m
  • Carney Chukwuemeka - £20m
  • Marc Cucurella - £63m
  • Cesare Casadei - £16.6m
  • Wesley Fofana - £75m
  • Pierre-Emerick Aubameyang - £10.3m
  • Denis Zakaria - loan
hatujajua huyu Zakaa sijui yupoje? labda anaweza kutusaidia pale kwenye kiungo.
 
Hela zimemwagwa na mwekezaji mpya ila mafanikio hakuna.....

Chelsea's big-spending summer​

  • Raheem Sterling - £47.5m
  • Kalidou Koulibaly - £34m
  • Omari Hutchinson - free
  • Gabriel Slonina - £12m
  • Carney Chukwuemeka - £20m
  • Marc Cucurella - £63m
  • Cesare Casadei - £16.6m
  • Wesley Fofana - £75m
  • Pierre-Emerick Aubameyang - £10.3m
  • Denis Zakaria - loan
Hizi dukuduku zimewahi sana
Ktk rebuilding, kama kuna position bado mafanikio kuona ni ndoto
Mfano, bado viungo wawili, huyu Zakaria ni wa kutest tu,
Na inayotuangusha sasa hivi ni viungo, Kante na Kovacic ni wazuri kwenye kiungo ila wanatakiwa angalau calibre yao au zaidi wawili zaidi ili impe kocha room ya kufanya rotation na pale watakapoumia awepo wa kubeba jahazi
 
Hela zimemwagwa na mwekezaji mpya ila mafanikio hakuna.....

Chelsea's big-spending summer​

  • Raheem Sterling - £47.5m
  • Kalidou Koulibaly - £34m
  • Omari Hutchinson - free
  • Gabriel Slonina - £12m
  • Carney Chukwuemeka - £20m
  • Marc Cucurella - £63m
  • Cesare Casadei - £16.6m
  • Wesley Fofana - £75m
  • Pierre-Emerick Aubameyang - £10.3m
  • Denis Zakaria - loan
Mkuu kwani msimu umeisha kiasi ambacho upime mafanikio? Huu ndio kwanza Wamiliki ni wapya na Huu ndio msimu wao wa kwanza umeanza
 
Nyie mataahira wa hire and fire, do you know how much you gonna pay for the sacking of TT?
TT and backroom staff 15m
Brighton 20m.
All figures in British Pound
For your information even Potter has no guarantee to finish 1st of his 5th yrs contract ,Chelsea is one of the clubs demands results by fire by force . compensation always available and we trust on our culture .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom