Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Graham Potter ni kocha mzuri ila kwa mentality ya Chelsea atakuja kuonekana kocha mbovu na atatimuliwa ndani ya muda mfupi. Niliwahi kusema humuhumu hasa kile kipindi cha Sarriball hatutakuja kuwa na consistence nzuri kama hatutaacha utaratibu wa kuwapa pressure makocha. Tuna employ makocha wazuri kama Sarri na Tuchel ila nao wanafall kwenye ile pressure ya kutaka kuprove haraka ili ajenge CV yake mapema kabla ya kutimuliwa. TT na Sarri wote wametupa European Trophy wameondoka na CV zao ila ni Chelsea ndio imebaki ina struggle kwa kutokua na muendelezo unaoelewekaGraham Potter ni kocha wa ajabu sana, wachezaji wa chini kabisa lakini ana matokeo mazuri kuliko Man U, Chelsea wenye wachezaji wa bei mbaya
Binafsi TT alipofikia sikuona kama ana haja ya kuendelea kuwepo Chelsea. Kilichonishangaza kwa TT mpira na zile tactics alizokua anatumia sasa hiv hazipo tena hata kama tumepoteza wachezaji ila nilichoona TT alipoteza nguvu yake dressing room ndio maana tukawa tunacheza vile.
Sasa hivi zinazuka tetesi za Graham Potter inanikumbusha enzi za David Moyes na Everton yake mpaka kwenda Man Utd na mpaka kilichotokea kiukweli sitegemei kuona tofauti yoyote hasa kwa nature ya ushabiki tulionao