lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,384
- 25,493
Joe Cole (mshabmuliajiw a zamani wa Chelsea) akihojiwa na BT Sport anadai Koulibally anatakiwa kuweka balance ya defense. ameonekana mara kadhaa akiwa upande usiostahili, anadai kwa mchezaji kama Koulibally kwa miaka 31 na uzoefu wa kutosha alitakiwa kutengeneza balance kwenye defense. Pia kadai kule mbele washambuliaji hawajiamini hawana magoli wala assists
