Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie mataahira wa hire and fire, do you know how much you gonna pay for the sacking of TT?
TT and backroom staff 15m
Brighton 20m.
All figures in British Pound
Toka hapo sebuleni unapolala uje uandike vzr
 
  1. Lampard alipewa lengo la kuibakiza timu EPL yeye akaipeleka timu top 4 (Changamoto aliyokuta Key player - Hazard kuondoka na hapo hapo tumepigwa ban ya kusajili)
  2. Tuchel alipewa lengo la uibakiza timu top 4 yeye akatupa UCL, UEFA Supper Cup na Club Worl Cup - (Changamoto aliyokuta hakuna)
  3. Graham Potter amepewa lengo la kuibakiza timu top 4 na la pili kuipeleka timu mbali zaidi kwenye UCL, hapa namaanisha robo au nusu fainali. Akifeli top 4 au UCL hatafukuzwa ila atapimwa kwenye maenedeleo ya general performance na kuingiza mbinu mpya inayofanya kazi ili kuepuka booring football. Akifanikiwa kuleta maboresho kwenye performance na mbinu mpya ataruhusiwa kuendelea na msimu wake wa pili na owners watampa support dirisha la kiangazi kuboresha zaidi timu kwa kuwaleta wacheza wanaofaa kwenye falsafa yake. Taarifa zinadai kuwa Boehly na wenzake wanaplans za muda mrefu ya kumjumuisha Potter kwenye Project Plan ya muda mrefu. That means Potter is here at Stanford Bridge to stay for a long period labda avurunde sana. Boehly na wenzake wanaamini kwamba itamchukua muda mrefu Potter kujumuisha mbinu zake na falsafa yake kwenye timu na hasa Chelsea yenye wachezaji wapya ambao nao wanahitaji muda mrefu kujenga chemistry. Wankubali pia ushindani ni mkubwa sana kwenye upande wa juu wa EPL table na hivyo wako tayari kumpa muda wa kutosha. Source: Daily Mail
 
Wamiliki wanajua nini wanafanya
 
Wewe kweli huna akili. Unasema TT hakupata changamoto? Majeruhi plus kucheza mfululizo kipindi Cha korona ..bado timu ikapigwa mavikwazo kiasi kwamba ilileta mkanganyiko halafu unasema TT hakupata changamoto. Usajili ndio kamaliza juzi tu hapa. Unategemea ndani ya siku mbili Tatu angejeenga kikosi Cha kuogopwa? Aise nyie mamluki munazingua Sana.
 
Akili yako iko wapi matakoni, unapocoment mada za wengine usitukane wewe mkurupukjaji mkubwa. majeruhi sio changamoto kubwa, kila timu ina changamoto hiyo. na Changamoto tunayozungumzia ni ya mwanzo wa msimu alipokuwa anapewa timu na kusaini mkataba. Lampard kasaini mkataba wakati timu imeondokewa na Hazard na ikiwa kwenye ban ya kutosajili, TT kapata changamoto ipi wakati anakabidhiwa timu, usajili wa wachezaji kakuta kila kitu supa (Acha basi ukenge unapokoment hoja za wengine) kapata changamoto ya timu kuuzwa mwishoni mwa msimu haikuleta any great impact kwenye msimu. Wewe kama ni msukule wa TT mfuate huko alikokwenda tuachie Chelsea yetu au hamia huko kwa Arsernali ndiosize yako. Halafu hoja ya Lampard na TT nimekoment positively wewe kwa ukenge wako unataka kuijulisha uma kuwa nimemkandia TT wakati mimi nimesema tena katupa advantage kubwa ya vikombe UEFA, nk.... so nani stupid between me and you
 
Nyinyi wavaa blauzi jukwaa lenu mshaanza kuligeuza kuwa jukwaa la matusi (kutukanana wenyewe kwa wenyewe) kama jukwaa la AsaniWali?
Kuweni kama wanaume basi, cheni kuwaiga wale watoto wa single mother waliokosa malezi ya pande mbili.
 
Chief hakuna kazi/shughuli yoyote duniani inakosa changamoto.

1. Viongozi/Makocha/Wachezaji sio maroboti (changamoto lazima ziwepo)

2. Mchezo wa mpira hauchezwi sayari yake peke yake bali unachezwa chini ya kanuni, sheria, taratibu za nchi na kimataifa. (Changamoto lazima ziwepo).

Ukisema TT na wachezaji hawakupata changamoto yoyote sidhani kama uko sawa.

Ukisema club haikupata changamoto yoyote sidhani kama uko sawa.

Changamoto baadhi tuliziona/kuzisoma/kuzisikia tukalaumu na kupeana moyo zitapita.

Changamoto nyingine zilikuwa ndani kwa ndani ambazo hatukuzijua.

Kazi/shughuli yoyote duniani haikosi changamoto. Ishu ni ukubwa/udogo wa changamoto hizo.

Hata Pep aliyechukua kombe EPL lazima atakutajia changamoto alizopata msimu uliopita even Real Madrid na UCL yake.
Kwa jinsi mimi nilivyoframe mawazo yangu ni ile major chalenge inayoleta serious effect kwenye performnace ya timu kwenye msimu mzima mfano kuzuiliwa kusajili huku wachezaji muhimu wameondoka. Hizi zingine zipo tu na kila timu inayo. Mfano majeruhi kila timu ilikumbwa na majeruhi na kila msimu timu zote au majority zinapatwa na majeruhi

Cha muhimu ni kumuelewa mwenzako ukishindwa pita kushoto sio kutukana
 
Mimi kila ninaposoma Develop Young Player moyo huwa unafarijika sana. Chelsea ni kati ya academy zinatoa wachezaji wazuri sana ila sasa hawasimamiwi na wanaishia kuuzwa mwisho wa siku tunakuja kutumia gharama kubwa kwenye sajili.

Ukiacha kuwa ni shabiki wa Chelsea nafatilia sana Real Madrid wale jamaa wana project yao baada ya miaka 3 inaweza kuwa tishio kubwa ulaya hata Barca sasa hivi japo wenyewe sio kama Real Madrid.

Tunategemea Potter atawainua kina Gallagher, Chukwuemeka, Slonina, Broja tuanze kuona makali yao.
 
Graham Potter na bench lake la ufundi
IMG-20220910-WA0001.jpg
 
Mimi kila ninaposoma Develop Young Player moyo huwa unafarijika sana. Chelsea ni kati ya academy zinatoa wachezaji wazuri sana ila sasa hawasimamiwi na wanaishia kuuzwa mwisho wa siku tunakuja kutumia gharama kubwa kwenye sajili.

Ukiacha kuwa ni shabiki wa Chelsea nafatilia sana Real Madrid wale jamaa wana project yao baada ya miaka 3 inaweza kuwa tishio kubwa ulaya hata Barca sasa hivi japo wenyewe sio kama Real Madrid.

Tunategemea Potter atawainua kina Gallagher, Chukwuemeka, Slonina, Broja tuanze kuona makali yao.
Na ukifuatilia kufukuzwa kwa TT, sababu kuu hakuwa na mpango wa kuwainua hao academy. Kaishia kuwaflastrate akina Broja, Levi, Billy Gilmour hata Chalobah kaibuka mwenyewe tu form yake ilipoyumba kocha hakuwa na plan ya kumtengeneza. Sasa Graham kapewa task mojawapo kubwa ni kuwainua hao academy na kuwajumuisha kwenye kikosi kuu. Itaweka uendelevu fulani ndani ya mfumo wa usajili. Nikiangalia kama mechi dhidi ya Sevilla nadhani Gavi ndie alikuwa MOTM kijana wa miaka 18 tu
 
Akili yako iko wapi matakoni, unapocoment mada za wengine usitukane wewe mkurupukjaji mkubwa. majeruhi sio changamoto kubwa, kila timu ina changamoto hiyo. na Changamoto tunayozungumzia ni ya mwanzo wa msimu alipokuwa anapewa timu na kusaini mkataba. Lampard kasaini mkataba wakati timu imeondokewa na Hazard na ikiwa kwenye ban ya kutosajili, TT kapata changamoto ipi wakati anakabidhiwa timu, usajili wa wachezaji kakuta kila kitu supa (Acha basi ukenge unapokoment hoja za wengine) kapata changamoto ya timu kuuzwa mwishoni mwa msimu haikuleta any great impact kwenye msimu. Wewe kama ni msukule wa TT mfuate huko alikokwenda tuachie Chelsea yetu au hamia huko kwa Arsernali ndiosize yako. Halafu hoja ya Lampard na TT nimekoment positively wewe kwa ukenge wako unataka kuijulisha uma kuwa nimemkandia TT wakati mimi nimesema tena katupa advantage kubwa ya vikombe UEFA, nk.... so nani stupid between me and you
Wewe Ni mamluki tu kitambo tunakujua ..huna jema wewe ..suala la changamoto kila timu inapitia Sasa kusema TT hakupata changamoto nakushangaa kwa sababu kila kitu kilikuwa wazi jinsi TT alivyostrago katika changamoto ambazo zilitokea msimu uliopita. Sasa wewe mbuzi mamluki unakuja kuleta mbambamba apa eti TT hakupitia changamoto ..em pita hivi Rudi ulipotoka. Pumbavu!!
 
Na ukifuatilia kufukuzwa kwa TT, sababu kuu hakuwa na mpango wa kuwainua hao academy. Kaishia kuwaflastrate akina Broja, Levi, Billy Gilmour hata Chalobah kaibuka mwenyewe tu form yake ilipoyumba kocha hakuwa na plan ya kumtengeneza. Sasa Graham kapewa task mojawapo kubwa ni kuwainua hao academy na kuwajumuisha kwenye kikosi kuu. Itaweka uendelevu fulani ndani ya mfumo wa usajili. Nikiangalia kama mechi dhidi ya Sevilla nadhani Gavi ndie alikuwa MOTM kijana wa miaka 18 tu
Mkuu ila ukija kiuhalisia hata ungekua wewe ndio Tuchel usingethubutu kuwatumia. Ni kwa sababu ya uharaka wa matokeo mazuri kwa vyovyote vile hawa madogo hawawezi kukufikisha mbali. So kwa huu mkataba aliopewa Potter naamini atakua na nafasi kubwa kufanya vizuri kuendeleza vijana.
 
POINT CHIEF.

Inawezekana kabisa kuibua, kukuza na kutumia vipaji vyetu ni mipango tuu.

Vijana wapewe muda wa kucheza kulingana na uwezo wa kijana vs aina / mazingira/ mwenendo wa mechi.
Tunapoteza mapato kwa kuuza vipaji vizuri kwa kuwatoa mapema vijana. Mfano kuna dogo anaitwa Jamal Musiala yupo Bayern saivi huyo dogo alitokea academy yetu kama angepewa nafasi alikua na uwezo wa kuwa mchezaji mkubwa akauzwa kwa pesa nzuri au hata akatumika kwa timu yetu wenyewe
 
Hapo juu nimeanisha kwamba kuna mazingira ya kuwatumia academy kulingana na uwezo wao.

TT kikosi chake kilikuwa na changamoto ya kutokufunga magoli mengi. Hilo goli 1 tuu linatafutwa kwa tochi na kubahatisha.

Huwezi kuingiza academy kwenye mazingira hayo ungekuwa mzigo mkubwa kwao.

Ila timu ingekuwa inaflow nzuri ya kufunga magoli mengi why not usiwaingize academy waonyeshe vipaji vyao na kupata uzoefu comfortably.

Nilisema hata ile mechi ya juzi UCL kwa ukubwa/uwezo wa THE BLUES dhidi ya Zagreb, kama TT kikosi chake kisingekuwa na changamoto ya kutokufunga magoli mengi ile mechi tulikuwa na uwezo wa kumix senior players na vijana wa academy na tungepata matokeo mazuri kabisa.
Tatizo lilikuja hivi hao ambao aliwan'gan'gania kwenye kikosi walishindwa kuonesha matunda ndio maana watu wakahoji kwa senior hao kushindwa kwanini asingetumia vijana mfano jorginho amekuwa underperform kwanini akashindwa kumtumia Gilmour? Kai hakuna chochote alichoonesha lakini kamn'gan'gania wakati una mtu kama broja, alikuwa anamtumiq james kwenye back 3 Mara nyingi wakati una kijana chalobah anayeweza kucheza Kwenye hiyo nafasi.
 
Mkuu ila ukija kiuhalisia hata ungekua wewe ndio Tuchel usingethubutu kuwatumia. Ni kwa sababu ya uharaka wa matokeo mazuri kwa vyovyote vile hawa madogo hawawezi kukufikisha mbali. So kwa huu mkataba aliopewa Potter naamini atakua na nafasi kubwa kufanya vizuri kuendeleza vijana.
Makocha wana formula ya kuwaingiaza kwenye first team, sio wote wala sio dakika zote. TT hata kama alikuwa na mazuri yake lakini hakuwa na mpango wowote wa kuwainua academy. Aliwataka wafight kama hawa experienced players kitu ambacho sio fair. Halafu ya dhahiri kabisa ni kuwaflastrate waziwazi, hasira aliyokuwa nayo Billy Gilmour ni mojawapo ya hili ninaloliongelea. Billy Gilmour angekuja kuwa kama Gavi na alionyesha hizo dalili lakini no one cared about him hadi kiwango chake kikashake

Kitu nilichopenda kwa hawa wamiliki wapya msisitizo wao mkubwa ni kuendeleza academy na kuwafanya young players kama mzizi mkuu wa uendelevu wa Chelsea imara na bora/ Hii haina maaana kuwajaza wote uwanjani lakini at least kila msimu kuwepo na young player mmoja au wawili wanaopenetrate kwenye first team.

Boehly woga aliokuwa nao kwa TT ni hao akina Chukwuemeka na wenzake wataflastrate halafu after one season wataomba kuhama kama TT angeendelea kuwa kocha.

Inatakiwa kila mchezaji mzee awe na successor wake kutoka aidha academy au young player walionunuliwa

Ili kila msimu tuwe na timu iliyokamilika idara zote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom