lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
Wala hukupatia mkuuNani aliyakumbuka haya maandishi yangu kadri mchezo ulivyo kuwa ukiendelea mpaka ulipo malizika?
Lampard angeondoka mapema tungechukua hata ubingwa wa EPLHongera ziende kwa TT kwa ujumla timu nzima ukweli tulikuwa na hali mbaya kipindi cha Lampard naye anastahili pongezi zake
Pia bila kumsahau boss kubwa Roman Abramovich bila yeye Chelsea tusingekuwa na mafanikio haya tuliyonayo leo
Kikubwa tujipange na msimu ujao tumuamini TT aijenge ile timu aliyoahidi mwenyewe hongereni wana blues wote london is blue
Huu uzi ni wa mabingwa. Nyie mizaha hamtakiwi hapaYaani hadi watu nisiowajua wameniquote nahisi kila mtu alikua ana hamu mechi iishe atafute kila nilipokoment.
Anyway, hongereni wazee.
Tafadhali mkiona mtu ameniquote baada ya hapa mpeni hongera kwa niaba yangu.
Yes Kanto has managed to achieve seemingly impossible feat of being everywhere all the time. Konte is an African god.Kante has been everywhere all game, remember the nameView attachment 1802078
Tunataka mavi yetu yenye ujazo ule ule yoka Mwenge hadi Posta, la sivyo tunakufungulia shtaka la ahadi fekiUkibeba kombe nakunya kutoka Mwenge mpaka Posta,trust me Mark my words

Jamaa ana pumzi sana aiseekuna ile mechi ya nusu fainal na Madrid, mpira ulitoka nje Madrid warushe kuelekea langoni kwetu.
Kai ameshika magoti anahema kwa nguvu kule Kante anazinga wachezaji wa Madrid wasipokee mpira wa kurushwa.
Tumewaondolea aibu ya kutambiwa na Man Shit ndani ya jiji 1 sababu angebeba makombe matatu(Carabao, EPL na UEFA).Oyah, Bab kubwa mulistahili ubingwa, hongera kwenu.
Wapi PAPAA GX , wapi jinga jinga Orachuchug, na machelkenge mengine yote.
VOCES SAO CAMPIONDOS.
PARA BEM MEUS AMIGOS.

Thaks a lot boss.LIVERPOOL fc fans kweli mlikuwa bega kwa bega nasi kuelekea UCL final, hatujawaangusha.
Tunashukuru sana YNWA.



RLewandoski anajisikia vibaya huko alipoChelsea hongereni sana. Mmestahili huu ushindi, maana mmecheza vizuri. Kante anastahili balon d'or kabisa.
Kapishana na gari la mshaharaMASKINIIIII HAZARD AISEEE
Uliwaza kama mimi mkuu, London is fullfilled with only blue color...Kuna kitu nilikua nakiwaza nahis TT alikua anawaza kama nilivyokua nawaza, ni hivi hichi kikosi TT hakukitumia kwnye Final y FA sababu PEP angekisoma kikosi chake cha maangamizi, ndio mana alibadilisha wachezaji, na ndio mana mechi za hivi karibuni alikua hata haeleweki anavyopanga wachezaji. Na nilijua kikosi cha leo kitakua kile cha Madrid, na tutashinda kirahis na kweli imekua hivyo.
Amini nakuambia tungepanga kikosi hichi final ya FA tungebeba, ila UEFA tungepoteza.
