Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,163
- 104,756
Haya, unasemaje sasa.?Tusubirie saa 6 usiku
Haya, unasemaje sasa.?Tusubirie saa 6 usiku
Nije uni kiss Mimi nitamfikishia usiwaze mkuu..
Nililala naamka sasa hivi livescore inaonyesha mmechukua.Man city wanarukaruka huko
Ngolo Kante man of the match
Huenda akachukua Ballon d'or mwaka huu
View attachment 1801935
Huyu mwamba karibu kila mechi ya Chelsea ni Man of the match
Nani kaona furaha ya hili goli ni kama la Tores against Barca 2012
Nalipokea kwa niabaa
Jana Mount alipitia mitaa ya Gundogun na kumpasia Kai aliyekuwa mitaa ya Stone na Dias kabla hajatumbukiza kwenye toboLeo mkifunga hiki kikos ,ndio man city hii sio kina sterling hawaaa
---------- Erdeson -------
Walker -----stone----dias----zincheko
Gundogun-------frenandinho -------bernado
Mahrez --------KDB-----Foden
Mkitufunga hapo 90min full ,chelsea win kwa hicho kikosi ,basi nitanyoosha mikono kuwa saaa tushakuwa vibonde ....
Come on city
Jana Azpilicueta alicheza kama captain, aliibeba timu kisawasawaKesho CITY akitutangulia kufunga goli tuu tumeshapoteza mechi, uwezo wetu wa kusawazisha na kuongeza goli ni mdogo sana.
Ila CITY tukimtangulia goli tuna uwezo wa kulidefence na kuongeza la pili endapo atapaniki.
Ningependa Christensen acheze Ukuta unakuwa solid sana na azipu apandishe mashambulizi heavy, tofauti na james akipanda anapoteza mipira ovyo.
Chilwell - Joginho - Kante - Azipu
--Rudger - Thiago - Christensen--
Wote wanamjua Kante ni wewe tuWadua man of the match ni nan
Kai tumepigwa?Nililala naamka sasa hivi livescore inaonyesha mmechukua.
Hongereni
Amepewa Ngolo kanteNadhani kama si Ng'olo Kante basi atakuwa Rudger
🤣🤣🤣🤣🤣Kai tumepigwa?