Hiyo ya 2008 tungechukua sisi kama sio Terry kuteleza wakati anapiga ile penalti ambayo ndio ilikuwa itupe kombe
Umefikia wapi mchakato wa kunya mpka posta..?Ukibeba kombe nakunya kutoka Mwenge mpaka Posta,trust me Mark my words
Ahsante mavi
Mount haachwi hapo, never, goli yeye ndi mpishi Kai kapakua tuKwanza kabisa nimefurahi kwa Tuchel a.k.a mastermind kubadilisha msimu wetu ambao ulikuwa sio mzuri chini ya Lampard kuwa msimu wa nehema.
Kitu Cha pili Thiago silva kubeba hii ndoo msimu uliopita alikosa na performance alideserve this trophy maana alilipigania Sana na atimae kachukua.
Kitu Cha tatu special hii iende kwa world class midfielder beast Ngolo kante ndio man of the match today bila kumsahau Kai havert performance was very exceptional bila team nzima ya Chelsea pamoja na Big boss wetu ROMAN ABRAMOVIC 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
tulikwambia mpira sio rede au drafti.Ni kweli but elewa pia bahati ilikuwa upande wetu! Imagine mechi mbili in a row, semi and final stages wapinzani wa Chelsea walikosa penati 4. Si jambo la kawaida. Halafu penati 2 kati ya hizo zilisababishwa na mtu mmoja ambaye pia ndiye magoli yake yalisababisha ubingwa kwa Chelsea, Didier Drogba (The beast!)
Mechi ya kesho, ushindi kwa Chelsea utapatikana kwa bahati ikiwa madogo wataendekeza ujinga wa kukosa magoli ya wazi na pia kuotea mara kwa mara.
Kuna kitu nilikua nakiwaza nahis TT alikua anawaza kama nilivyokua nawaza, ni hivi hichi kikosi TT hakukitumia kwnye Final y FA sababu PEP angekisoma kikosi chake cha maangamizi, ndio mana alibadilisha wachezaji, na ndio mana mechi za hivi karibuni alikua hata haeleweki anavyopanga wachezaji. Na nilijua kikosi cha leo kitakua kile cha Madrid, na tutashinda kirahis na kweli imekua hivyo.That is our best elecen kwa sasa..
Nakumbukua nimewai kusema hapa, baada ya kufungwa na Leicester fainali..
Kwamba tungechezesha kikosi kama hichi cha leo Leicester lazima angeoga goli za kutosha tu..
Sema all and all, uefa is the biggest of all..
Congrats tuchel, congrats Chelsea lads
Sisi ni mabingwa wa ulaya 2020/2021.
Naona mshakua vibondeLeo mkifunga hiki kikos ,ndio man city hii sio kina sterling hawaaa
---------- Erdeson -------
Walker -----stone----dias----zincheko
Gundogun-------frenandinho -------bernado
Mahrez --------KDB-----Foden
Mkitufunga hapo 90min full ,chelsea win kwa hicho kikosi ,basi nitanyoosha mikono kuwa saaa tushakuwa vibonde ....
Come on city