Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

England always blue
FB_IMG_16223223346032463.jpg
 
Hii game leo City wameonekana kama hawajui kucheza
PEP ajifunze mbinu kwa TT
Chelsea ilitakiwa ishinde sio chini ya goli 3 leo
Wamecheza mpira wenye malengo, wao walikaa na mpira sana lakini walicheza kama watoto wa matambara
Chelsea ikipata mpira pasi za uhakika na za hatari
Mason Mount na 22yo tayari kawa Legend wa Chelsea akiendelea itakuwa balaa
 
Wewe ni kilaza tu ,chelsea anauzoefu gan CL wewe ,taja wachezaji 5 wameocheza final CL kwenye kikosi kinachocheza leo ...

Tatizo mnatembelea historia za 2012 ,wakati tupo 2021 ,..

Kaa ukijua unategemea kina werner ,mount kupata matokeo kenge wewe
We kuku nasubiri mrejesho hapa nilikuambia tukutane baada ya mechi kumalizika nashangaa uko kimya

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom