Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

“We will build a team that nobody wants to play against,” Thomas Tuchel said after the goalless draw with Wolves in his first game in charge
1622349219750.png
 
tulikwambia mpira sio rede

tulikwambia mpira sio rede au drafti.
Soma comment yangu mpaka mwisho, labda huelewi:
"Ikiwa madogo wataendekeza tabia ya kupoteza nafasi kizembe zembe na kukaa offside positions kama ilivyo desturi, ushindi utakuwa bahati". Sasa linganisha mechi ya semi final dhidi ya Real Madrid na final, ni mechi ipi madogo wamekosa nafasi nyingi za wazi za kufunga? Obviously ni semi final, it means that in final match there was a slight improvement.
Chelsea tumeshinda lakini ukweli ni kwamba tulikuwa stressed zaidi kuliko Man City.

UCL final 2012, tulikuwa stressed zaidi kuliko Bayern
Semi final 2012, tulikuwa stressed zaidi kuliko Baća.
Check comment ya Tuchel baada ya mechi ya jana:
"With this we can even become more better"

Jiongeze brain ili kuelewa.
 
Jupp Heynckes :
[emoji777] Lost the final in 2012
[emoji736] Won the final in 2013

Jurgen Klopp:
[emoji777] Lost the final in 2018
[emoji736] Won the final in 2019

Thomas Tuchel:
[emoji777] Lost the final in 2020
[emoji736] Won the final in 2021

German managers always bounce back [emoji123] [emoji629]
 
Kakosa goli yeye na kipa juzi dhidi ya Arsenal.

Ni kama Torres. Kazingua akaja kuturn up siku ya UCL
Kwan Wachezaji wangapi wanakosa magoli ? [emoji3] Ulikuwa unahangaika Sana hapa ooooh Chelsea akija na mfumo 3-4-2-1 anafungwa ...mahaters bwana mtateseka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom