curie
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 1,096
- 2,593
Bado kuna watu walituona kma tunaotaKesho tunashinda mapema kabisa
Bado kuna watu walituona kma tunaotaKesho tunashinda mapema kabisa
Kuna mechi nyingi tulipoteza kizembe mno
Only Tuchel bounce back with the different team, but the rest was the same team.Jupp Heynckes :
[emoji777] Lost the final in 2012
[emoji736] Won the final in 2013
Jurgen Klopp:
[emoji777] Lost the final in 2018
[emoji736] Won the final in 2019
Thomas Tuchel:
[emoji777] Lost the final in 2020
[emoji736] Won the final in 2021
German managers always bounce back [emoji123] [emoji629]
Wapi ANTONIO CONTE? huyu mwamba aje atupie chochote kwa kweli maana ni mchambuzi mzuri sana kisoka.Kwa ssa KAI HARVET SI MDAI CHOCHOTE KILE HATA AKIONDOKA LEO SITOMDAI KAMWE PESA YAKE YOTE IMELOPA LEO WAKO WAP WALIO SEMA TUMEPIGWA??
Willy Jr, Castr, Computerarsenal wamejificha wapi au tayari wameshajinyonga?Namtafuta arsenal simuoni hapo vip tena au anacheza lig ya uhoranzi
Mimi jana nililipiza huzuni ya kufungwa na Leicester baada ya kukesha hadi saa 8 kasorobo usiku.Wanangu, leo nna furaha sana.
Always [emoji170][emoji170][emoji170]
Nimekesha jana mpka saaa tisaWilly Jr, Castr, Computerarsenal wamejificha wapi au tayari wameshajinyonga?
Wapewe ulinzi mara 1 kwa roho zao za kwanini.
Lampard alikuwa anapigwa back to back nyingiKuna mechi nyingi tulipoteza kizembe mno
Sana aje mwamba huyuWapi ANTONIO CONTE? huyu mwamba aje atupie chochote kwa kweli maana ni mchambuzi mzuri sana kisoka.
Drogba alikuwepo? [emoji849][emoji849][emoji849]Pia tusiwasahau kuwapongeza malegend kwa kutoa hamasa kubwa kwa wachezaji wetu nimemuona King Drogba na John Terry wakiongea na vijana
Usiabudu mtu mkuuYes Kanto has managed to achieve seemingly impossible feat of being everywhere all the time. Konte is an African god.
Afu kafungwa 1 tu la nguruwe lakini watoto kibao daaah....huwa ni goli linaloumiza milele yote...[emoji1787]Ndo ivyo saa itakuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wataje tafadhali mkuuKuna mashabiki humu tena wa Chelsea kabisa walikuwa wameisha mpa ubingwa Man City
Kweli aisee Antonio Conte unaitwa huku mbona kimya tusikie analyst wako wa mechi ya janaWapi ANTONIO CONTE? huyu mwamba aje atupie chochote kwa kweli maana ni mchambuzi mzuri sana kisoka.
Yaah waache wao na arsenal wabaki na rekodi yao ya kujifariji kuwa usipochukua kombe walau ucheze fainaliTunashukuru sana [emoji120].
Tumemdhibiti huyo jirani yako, la sivyo angewasumbua sana kwa kelele
Soma vizuri maandishi god siyo God. Pili elewa lugha ya sanaa poetic exaggeration. Ukielewa hili utajua kwanini wasanii waliimba Magufuli BALAA bila kutupwa selo 🙂Usiabudu mtu mkuu