Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,587
- 81,557
Hongera bana naona mmejitutumua.Dah nipo nipo arabuni mzeiya ..mianzini tuonane desemba apo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enewei nipe matokeo mjombaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera bana naona mmejitutumua.Dah nipo nipo arabuni mzeiya ..mianzini tuonane desemba apo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enewei nipe matokeo mjombaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hatari fayaaa ...kwani huyiogopi Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera bana naona mmejitutumua.
Waoga waoga wale wanajulikana ..Kama hao kwenye Safari hawafai.Kuna mashabiki humu tena wa Chelsea kabisa walikuwa wameisha mpa ubingwa Man City
Lampard alikuwa ni bonge la takataka
Hayo n maneno ya kawaida tuu, hata willian ameenda Arsenal kubeba UCL 🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️Ila maneno yake yaliudhi, anakwenda kubeba Ballon'Dor
Sana hasa Didier kafanya kazi kubwa Sana.Kuanzia kesho namtoa kwa muda Drogba kwenye profile picture na kumweka N'golo Kante (mtu asiye na makuu, jana alivyogusa kombe baada ya kuvaa medali inafurahisha sana...kama analiogopa kombe vile!)
Huyo ndiyo zake..Kuanzia kesho namtoa kwa muda Drogba kwenye profile picture na kumweka N'golo Kante (mtu asiye na makuu, jana alivyogusa kombe baada ya kuvaa medali inafurahisha sana...kama analiogopa kombe vile!)
Kuanzia kesho namtoa kwa muda Drogba kwenye profile picture na kumweka N'golo Kante (mtu asiye na makuu, jana alivyogusa kombe baada ya kuvaa medali inafurahisha sana...kama analiogopa kombe vile!)
Kinachofurahisha zaidi ana pumzi na anapiga kazi kwa bidii bila kuchoka.Huyo ndiyo zake..
Hata world Cup ilibidi wenzake wampelekee apige nalo picha..
Hana makuu.
Alikuwa anafukuzia bal D' orKule aliko anaona wivu ile mbaya
jana alikuwa anashambulia kuliko Havertz na kukaba kuliko Rudiger, what a player we have. Huyo aliyemsajiligi BIG KUDOSKinachofurahisha zaidi ana pumzi na anapiga kazi kwa bidii bila kuchoka.
Anaigiwa sana chapuo apewe Ballon D'io huku wakimpamba kuwa, Modric aliwahi kuipewa bila kufunga magoli.
Ngoja tusubiri zali laweza kuangukia kwa Kante
Hadi dk 53, City walikuwa wanasema, Kante yupo kila mahali na anazuia. Wakasema wakifanikiwa kumpita yeye biashara imeisha. Bahati mbaya hilo halikufanikiwajana alikuwa anashambulia kuliko Havertz na kukaba kuliko Rudiger, what a player we have. Huyo aliyemsajiligi BIG KUDOS
Hadi dk 53, City walikuwa wanasema, Kante yupo kila mahali na anazuia. Wakasema wakifanikiwa kumpita yeye biashara imeisha. Bahati mbaya hilo halikufanikiwa