Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.

Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.
 
Baada ya dakika chache zijazo matanga rasmi yataanza
Mgonjwa bado anapumja jamani
 
Cheltako mkishinda nawapa mimi na wife wangu kama bonus kutesa kwa zamu wenzenu manulee tushapoa vifuraha vimeanza kurejea.
 
Daah, hizi kosakosa baadaye tusije kujilaumu

City walikuwa wanakufa dakika hizi 20 za mwanzo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom