Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Mie sina amani kweli tanaUpo kama mimi aisee
Mie sina amani kweli tanaUpo kama mimi aisee
Inabidi uwe na imani Leo city anazikwa mzima mzimaMie sina amani kweli tana
Du mapigo ya moyo yanakwenda kasi sana wakulungwaInabidi uwe na imani Leo city anazikwa mzima mzima
Tunabebwa na mashabiki wenye imani na ndio raha ya kutofananaMie sina amani kweli tana
Nasikia John Terry amewahi nafasi kule Porto kuishuhudia Chelsea ikibeba ndoo kama alivyofanya 2012 tofauti safari hii akiwa sio mchezaji wa Chelsea
View attachment 1801446
Baadae Werner anakusokomeza mbwa wewe.Mbappe ambaye hakupiga shuti firt match kweli chelsea mnamidomo kama man United
Inabidi uwe na imani Leo city anazikwa mzima mzima




Guardiola afungwe mara 3 mfululizo?



Labda blue mpaukoManchester is Blue
Tusubirie saa 6 usikuLabda blue mpauko
Yeye ni Nani au ana uspecial gani asifungwe Mara 3? Hiv ujajifunza kwa jose mourinho record zake zilizovunjwaGuardiola afungwe mara 3 mfululizo?
![]()
MeanwhileFodeeeeeeeeen..it is City three Chelsea nill in Portugal.