Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Arsenal kakuweka..We umenyukwa na Brighton usijisahaulishe
Villa kakuweka ..
Huna timu kijana kubali tu ,leo mkishinda ni bahati sanaa
Arsenal kakuweka..We umenyukwa na Brighton usijisahaulishe
Mimi nimekuweka mara mbili. Pundamilia wamekuweka.Arsenal kakuweka..
Villa kakuweka ..
Huna timu kijana kubali tu ,leo mkishinda ni bahati sanaa
suburiSisi hatutishwi na vinyagoo
Mi sina stori ndefu.Mahrez anakutana na mtu amevaa mask kule kushoto. Bwana Rudiger, amekuwa na roho mbaya sana sikuhizi.
View attachment 1800962
Chelsea amestruggle kupata matokeo kwa timu zinazopaki basi ila siyo timu zinazofunguka.
Wewe piga kelele zako lakini Kaa ukijua kuwa leo Chelsea FC tunanyanyua ndoo ya euefa champions league.Wewe ni kilaza tu ,chelsea anauzoefu gan CL wewe ,taja wachezaji 5 wameocheza final CL kwenye kikosi kinachocheza leo ...
Tatizo mnatembelea historia za 2012 ,wakati tupo 2021 ,..
Kaa ukijua unategemea kina werner ,mount kupata matokeo kenge wewe![]()
Kachezea vichapo Sana Kwa style hyohyo Vs Leicester goli 5, Vs Leeds goli 2, spurs goli 2, nyumbu goli2, Chelsea pia goli 2....
Leo mkifunga hiki kikos ,ndio man city hii sio kina sterling hawaaa
---------- Erdeson -------
Walker -----stone----dias----zincheko
Gundogun-------frenandinho -------bernado
Mahrez --------KDB-----Foden
Mkitufunga hapo 90min full ,chelsea win kwa hicho kikosi ,basi nitanyoosha mikono kuwa saaa tushakuwa vibonde ....
Come on city
Ulichokosea hapo kumuweka jorginhoKesho CITY akitutangulia kufunga goli tuu tumeshapoteza mechi, uwezo wetu wa kusawazisha na kuongeza goli ni mdogo sana.
Ila CITY tukimtangulia goli tuna uwezo wa kulidefence na kuongeza la pili endapo atapaniki.
Ningependa Christensen acheze Ukuta unakuwa solid sana na azipu apandishe mashambulizi heavy, tofauti na james akipanda anapoteza mipira ovyo.
Chilwell - Joginho - Kante - Azipu
--Rudger - Thiago - Christensen--
Nakuelewa sana Papaa GxNaam ndio maana nikasema asije akajaribu huyo kitu, ni hatari sana. Ila now naona Pep amekuwa na nidhamu kwetu, tizama zile mechi mbili tulizo mfunga. Ule ujinga wake wa kupeleka wachezaji wote kwenye goli kisha wanakupelekea moto wa kutafuta mpira hakuufanya kabisa. Sasa leo lazima ajichanganye akiwa na hamu ya kupata ushindi mapema hapo ndio atakapo jilaumu
lembu Leo Chelsea tuna shinda kumbuka hii ni fainal na wachezaji wetu wanalitaka Hili kombe kweli kweli so tegemea Leo tutapiga mpira mkubwa kama ule wa Madrid sijui wewe una wasi wasi gani hao Man city una waoverrate Sana ila Leo utawakataa mzee namna tutakavyowashinda kimbinu Man city ni weupe wakikutana na team yenye mbinu ndio maana ole anamgonga kweli kweli Guardiola Make it in your mind.Na tatizo ndio iko hapo kwenye kutengeneza chances nyingi tena nzuri halafu hatuna wafungaji
Mpira wa kisayansi unaangalia takwimu nje ya hapo ni kubahatisha
Usije baadae ukakimbia uziYaan kesho mkipona aisee...
Chelsea kutufunga kesho itakuwa maajabu ...
Yaan kesho ngoma tunaimaliza 1HT
Castr Leo inabidi utusapoti london wenzako ili uone Chelsea tunavyochukua kombe la UEFA nakupa onyo mapemaMnapiga 3 4 2 1? Kombe la City
Kocha bora anapimwa kwa kuifikisha team top 4 sio? Top4 tumebaki kwa mbinde kibahat bahati hapo hakuna kochaHujui mpira kashangilie mziki
Leo Chelsea itabadilika Sana kutokana na uzito wa game yenyewe hautaamini macho yako namna nilivyoona wachezaji walivyo kuwa na motivation na ubora wa mbinu wa kocha wetu man city leo utamkataa tunza hii comment jikumbushie baada ya game kuisha.Kesho muda kama huu tutampongeza/tutamlaumu TT kwa kikosi alichoweka, binafsi ntaenda kuangalia mechi kwa hofu kubwa.
TT amethibitisha uwepo wa Mendy na Kante watakuwepo. Natamani kesho mabeki wawe wanne ili angalau tuongezee ulinzi golini.
London is 💙💙💙
Kwenye karatasi kila timu ina wachezaji wa kushinda.Castr Leo inabidi utusapoti london wenzako ili uone Chelsea tunavyochukua kombe la UEFA nakupa onyo mapema
Kila timu iko motivated bro. Jinsi united ilivyoonyesha maandalizi ulitarajia kilichomkuta?Leo Chelsea itabadilika Sana kutokana na uzito wa game yenyewe hautaamini macho yako namna nilivyoona wachezaji walivyo kuwa na motivation na ubora wa mbinu wa kocha wetu man city leo utamkataa tunza hii comment jikumbushie baada ya game kuisha.
Usitufananishe sisi na man u kabisa unatukosea heshima sisi tunapokuwa na jambo letu nobody can stop sisi tunasumbuliwa na team za kupack bus lakini sio zinazoshambulia kama man city hao Man city utawakataa leoKila timu iko motivated bro. Jinsi united ilivyoonyesha maandalizi ulitarajia kilichomkuta?