Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Theee Blueeeees💙💙💙💙
IMG_1358.jpg
 
That is our best elecen kwa sasa..

Nakumbukua nimewai kusema hapa, baada ya kufungwa na Leicester fainali..
Kwamba tungechezesha kikosi kama hichi cha leo Leicester lazima angeoga goli za kutosha tu..

Sema all and all, uefa is the biggest of all..

Congrats tuchel, congrats Chelsea lads

Sisi ni mabingwa wa ulaya 2020/2021.
 
Kwanza kabisa nimefurahi kwa Tuchel a.k.a mastermind kubadilisha msimu wetu ambao ulikuwa sio mzuri chini ya Lampard kuwa msimu wa nehema.


Kitu Cha pili Thiago silva kubeba hii ndoo msimu uliopita alikosa na performance alideserve this trophy maana alilipigania Sana na atimae kachukua.


Kitu Cha tatu special hii iende kwa world class midfielder beast Ngolo kante ndio man of the match today bila kumsahau Kai havert performance was very exceptional bila team nzima ya Chelsea pamoja na Big boss wetu ROMAN ABRAMOVIC 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom