Kai kacheza vizuri, goli la Timo yeye ndio alikuwa mpishi, Kai kamdhibiti Ramos hafurukuti mpaka kidogo kai apewe njano kwa kumpush Ramos
Tatizo la Chelsea ni pale katikati, viungo wameshindwa kuichezesha timu mpira uko kwa Real Madrid muda mwingi
Hujui mpira wewe Viungo wameandaliwa kimbinu zaidi na ndiyo maana mara zote umemuoma Kante anaonekana zaidi kwenye mashambulizi ya mwisho kuliko Mount je unajua kwanini Tuchel amefanya hivuo
 
Wasenge msindwe mpiga gadiola sasa
Hawawezi ule mziki mwengine...hawa madrid walikuwa weupe kabisa....yaani zizou kazingu sub zake kwanza zimechelewa, mendy na viny jr walitakkwa watoke half time au angebadilisha mfumo...hawawezi cheza kama wing backs.

Centre backs wake wa pembeni nacho na yule militao sijui nao hawakutekeleza function za outside centrebacks kama alivyokuwa anafanya mjerumani mweusi upande wa chelsea.
In short madrid dnt have the personnel nor did they assimilate the tactical movements required to play the chosen system on the day.
 
Thomas Tuche awa kocha wa kwanza katika historia ya vikombe vikubwa vya Ulaya kuipeleka timu mbili tofauti fainali katika miaka inayofuatana

Bado tutaendela kuvun ja rikodi
Ila hapa tusisahau Frank Lampard. Aliichonga na kuisaidia sana timu kuvuka kabla ya kuanza kupata matokeo mabovu. So ni kuna watu wawili kwenye hili kombe, FL na TT
 
Hujui mpira wewe Viungo wameandaliwa kimbinu zaidi na ndiyo maana mara zote umemuoma Kante anaonekana zaidi kwenye mashambulizi ya mwisho kuliko Mount je unajua kwanini Tuchel amefanya hivuo
Sijui maana kateta na wewe
 
Image
 
Hawawezi ule mziki mwengine...hawa madrid walikuwa weupe kabisa....yaani zizou kazingu sub zake kwanza zimechelewa, mendy na viny jr walitakkwa watoke half time au angebadilisha mfumo...hawawezi cheza kama wing backs.

Centre backs wake wa pembeni nacho na yule militao sijui nao hawakutekeleza function za outside centrebacks kama alivyokuwa anafanya mjerumani mweusi upande wa chelsea.
In short madrid dnt have the personnel nor did they assimilate the tactical movements required to play the chosen system on the day.
Iyo city tutapiga kipigo cha mbwakoko
 
Back
Top Bottom