Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The luckiest man on earth today award goes to Thomas Tuchel

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa. Katoboa mtumbwi ila kavuka salama. Tunawashukuru pia Tottenham Hotspurs kwa kazi nzuri ya uokoaji.

Hopefully ujinga alioufanya TT kwenye mechi 3 zilizopita na ukatugharimu hataurudia tena!
 
Kuna watu humu inabidi mkue kichwani. Bongo na mioyo yenu ibalehe basi. Kwani lazima matusi na kejeli zenye kutusi wengine?

Mpira furaha. Mtatukimbiza wengine humu. Huwa hatuna furaha kusoma matusi. Tuchangamshane kwa kustahiana. Hakuna mmiliki wa timu zetu humu. Infact wenye timu hawatujui. Tusigeuze furaha kuwa faraka, haifai!
Waandika matusi mbona ni mashabiki wenzako wa Chelsea? Sisi tulikua na mmoja, tukamuweka chini tukamuweka sawa siku hizi ameacha. Sasa kama shabiki mwenzako akiandika tusi husemi ila mgeni ndiyo unamsema hiyo ni double standard.
 
Ntakuwepo mkuu sema washabiki wa hii timu wengi huwa ni plastic, baada ya kupigwa watakimbia wote sasa nahofia na ww utakimbia.
Mimi ni Chelsea tangu enzi, enzi zile za akina Marcel Desaily, Christian Babayaro, Frank Lebouf et al. kukosa top 4 au ubingwa ilikuwa kawaida. So usitarajie mimi kukimbia. Labda nibanwe na Kaisari tu
 
Waandika matusi mbona ni mashabiki wenzako wa Chelsea? Sisi tulikua na mmoja, tukamuweka chini tukamuweka sawa siku hizi ameacha. Sasa kama shabiki mwenzako akiandika tusi husemi ila mgeni ndiyo unamsema hiyo ni double standard.
Wapo toka pande zote. Na ni vyema wakiacha. Nina mashabiki wa Chelsea kadhaa kwenye ignore list kwa sababu ya matusi.

Hakuna haja ya kuwatusi wengine. Huwa naona ni utoto wa mawazo na upumbavu wa moyoni
 
Chelsea ikifanikiwa ku cheza mpila na formant kama tulio cheza na Leicity jana, ubingwa CL utakua wetu kwa asilimia 80% kwa sababu zifatazo:

Mancity sio wazuri kuzuia magoli kama Leicity, defence yao sio imara kama ya leicity, hata jana walifungwa matatu na timu inayo shuka dalaja.

Manicity nguvu yao ni viuongo ndo wanao chezesha sana hiyo timu, tukiweka viungo wa nne pia kama Jana tutawanyanganya mpila ki rahisi.

Wanner hafungi sana ila anapanua sana uwanja kutegeneza na fasi kwa wengine kufunga, kwahiyo kuna wakati anacheza kama winga na wakati kama striker Manicity hawana uwezo kumzuia mtu mwenye kasi kama ya Timo.

Mancity ukiwabana hawanaga plan B. nikama Barcelona tena endogani na de Braina mkiwakaba vizuri hawana wabunifu zaidi ya hao, James na rudriga wanawaweza vizuri.

Chelsea inebidi ezuie deadballs na set pieces kama free kicks na corners makhrezi atawekwa kwaajiri ya dead balls. Foden ukimzuia kupata space ya kuchezea anapotea mazima, anategemea msaada kwa De braina na makhrezi, kwahiyo beki ya chelsea ina mfahamu vzri.
Ukoo wenu kuna mtu keshagavuta bangi bila ninyi kujua
 
HUYU NI KOCHA KWELI?

AU TUMEPIGWA?
E2FhKx7XoAUAw-F.jpg
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Wanaume tumekaa kimya kwenye uzi wetu tunaangalia mechi yetu, nyumbu na Arse8 mnajipitisha mmevaa kanga moja imelowa maji huku mnatutingishia wowooo na kutuambia THE BLUES kuleni tigo yetu.
unabikra kweli ya nyuma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom