BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,946
- 11,812
Upo Fainali au unamsindikiza City ???Bora hata mimi niko fainali ya UEFa tena nilimtoa mume wako Madrid. Ilitakiwa uwe umejifungia huko Siyo kishinda kwenye uzi wa wanaume.
Upo Fainali au unamsindikiza City ???Bora hata mimi niko fainali ya UEFa tena nilimtoa mume wako Madrid. Ilitakiwa uwe umejifungia huko Siyo kishinda kwenye uzi wa wanaume.
Wewe mbona humshukuru Leicester City au unajitoa ufahamu?Wew kobe mshukuru spurs uwezo hamna
Nimshukuru kwa kipi???Wewe mbona humshukuru Leicester City au unajitoa ufahamu?
Wewe uko wapi?Upo Fainali au unamsindikiza City ???
Hatukuwa na striker leo. Wale wote walikuwa ni wapishi. Wamaliziaji wote walikuwa nje ya uwanja. Timu haina shida ila kocha akileta rigidity yake yatamkuta ya FL. Moja ya factor zilimponza ni kumpendelea Tammy hata pale ambapo kulikuwa na better choicesAina ya striker tulionao wanacreate chance chache sana wakiwa uwanjani.
Na tukishindwa kuzitumia hizo chance ndo basi tena.
Kumbe unajijua kuwa una wachezaji takatakaAina ya striker tulionao wanacreate chance chache sana wakiwa uwanjani.
Na tukishindwa kuzitumia hizo chance ndo basi tena.
Wewe mbona umeshindwa kumsindikiza Mumeo Chelsea?Upo Fainali au unamsindikiza City ???
Kabati limejaa mzee najipanga na msimu ujaoWewe uko wapi?
Nimsindikizaje? Au huuoni msimamo wa ligi wa sasa wewe bweha ??Wewe mbona umeshindwa kumsindikiza Mumeo Chelsea?
Basi tulia kama unanyolewa na wembe maana mshindi wa kwaza tu ndiye aliyepata tuzo, nafasi ya pili hadi 4 ni wasindikizaji tu wa Bingwa wa EPLNimshukuru kwa kipi???
Maneno ya mkosaji haya.Basi tulia kama unanyolewa na wembe maana mshindi wa kwaza tu ndiye aliyepata tuzo, nafasi ya pili hadi 4 ni wasindikizaji tu wa Bingwa wa EPL
Mmoja wenu kasema timu yenu takataka mwingine kasema mnaenda kushikishwa ukuta na City.Najua una hasira maana umeshindwa hata kuqualify kwenda kombe la UEFA la viti maalum.
We umepata nini msemaji mkuu wa Liverkuku?Maneno ya mkosaji haya.
Wewe tulia umechanganyikiwa na vipigo. nilazima mchanganyikiwe malondon babyWe umepata nini msemaji mkuu wa Liverkuku?
Usiache kuwepo siku hiyo. Baada ya 90 tukutane hapa...29/05/2021
Tunauzika huu uzi kabisa.