Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kante Kwan ni majeruhi? Kocha si alitwambia hakuumia bali alimtoa tu. Mi nikajua leo amepumzika tu
Alitakiwa jana jumamosi aanza mazoezi na wenzake ila hakuwepo ndio maana hata kwenye benchi hakuwepo ila jumatatu atataanza mazoezi na wenzake kwa ajili ya jmosi
 
Tuchel kasema kesho Mendy atafanyiwa scanning na watafanya kila linalowezekana Mendy awepo golini jumamosi

Edouard Mendy went off at half-time after colliding with the woodwork​

‘He fell on the frame of the net. He has big pain in his ribs. We need to wait until we get home and we will do some images.

‘Tomorrow we will have an update on what’s going on. We have a week to prepare, and we will see if it’s possible. If it’s possible we need to push and do everything so he is in goal on Saturday.’
 
Jumatatu nimeona sehemu watapewa likizo ya siku moja kisha Jumanne ndio wanaanza mazoezi.
Alitakiwa jana jumamosi aanza mazoezi na wenzake ila hakuwepo ndio maana hata kwenye benchi hakuwepo ila jumatatu atataanza mazoezi na wenzake kwa ajili ya jmosi
 
Tammy Abraham + Kepa Arrizabalaga + Cesar Azpilicueta + Paund 70m = Harry Kane
 
Jumatatu nimeona sehemu watapewa likizo ya siku moja kisha Jumanne ndio wanaanza mazoezi.
Kwenye website ya Chelsea, Tuchel kasema jtatu ataanza mazoezi, of course kama hiyo ya jtatu ni likizo basi automatically jnne ataanza mazoezi kwa ajili ya jmosi
 
Kwenye hii dunia hata ufanye mazuri 99, kosa moja itafanya mazuri yote yasahulike
Japo ni kwelie midfield yetu hawamaitain uchezaji mzuri, mechi mbili wanacheza vizuri na mechi inayofuata wanaboronga

1621802455391.png
 
Hili ndio tatizo unapoweka best of your strikers nje. Mount, Pulisic, na Werner ni wapishi, sio wafungaji. Na leo wamepika nafasi nyingi sana. Ila hakukuwa na mfungaji, so zimepotea. Chilwell kakosa nafasi nyingi. Kapiga ki beki beki baada ya nafasi kuwapita waliopaswa haswa kuzitumia. Timu imecheza vizuri ila kocha arudishe chenji!
Hatuna striker, huyo Giroud or tammy ni wale wale tu sio wakukupa 20+ goals katika league
 
Leo baada ya goli la kwanza ikanibidi nihamie kwenye mechi ya Spurs na Leicester city huku nabana
Leo Chelsea na Tuchel wameudhi, siku ya kupambana wao wanaremba tu
Wachezaj wetu hawana ile morale waliokuwa nao wakina drogba,fl8,jt26 etc, kuna game zinahitaj kupambama ila ukiangalia wanavyocheza nikama wanalazimishwa vile

Kutokuwa na leader katika team nako nichangamoto, azplicueta sio kiongozi kama alivyokuwa jt, silva peke yake hawezi
 
Kwenye hii dunia hata ufanye mazuri 99, kosa moja itafanya mazuri yote yasahulike
Japo ni kwelie midfield yetu hawamaitain uchezaji mzuri, mechi mbili wanacheza vizuri na mechi inayofuata wanaboronga

View attachment 1795678
Jorginho ni mchezaji wa hovyo sana, Tuchel akiendelea kumng'ang'ania huyo mchezaji nae atafukuzwa kama lampard. Jorgihno ndio anafanya mpk Kova nae anaonekana wa hovyo.
 
Hili ndio tatizo unapoweka best of your strikers nje. Mount, Pulisic, na Werner ni wapishi, sio wafungaji. Na leo wamepika nafasi nyingi sana. Ila hakukuwa na mfungaji, so zimepotea. Chilwell kakosa nafasi nyingi. Kapiga ki beki beki baada ya nafasi kuwapita waliopaswa haswa kuzitumia. Timu imecheza vizuri ila kocha arudishe chenji!
kocha tumepigwa bora lampad
 
Leo TT kosa lake ni lipi?
Aliyekuwa anatubeba Kante bado majeruhi, labda kumuweka Werner no 9 mimi ndio niliona angemuweka Havertz hapo na Werner akacheza kushoto. Dressing room ndio sio kwema na msimu wa kiangazi Chelsea wasipomsajili goal machine kama Kane au Haaland basi tusahau Ubingwa tutakuwa tunapigania top 4 tu tena kwa kuumia kama leo
Bado naamini OG ndiye best striker katika timu ya sasa. Werner sio striker, hata Tammy kwenye hili kamzidi.
 
Leo shots = 23
On target = 7
Goals = 1
Tunamuhitaji Kane
Tuna Tammy na OG na hatuwatumii. Then tunatarajia somehow akija Kane au Haaland watatubeba? Huyu kocha naweza piga benchi akaanza Wener au Havertz. FL alikuwa na mahaba na Tammy, Mwingereza mwenzake. Naona TT kaja na mahaba kwa Wajerumani wenzake. Undugunaizesheni kwisha kazi kweli!
 
Wachezaji wafuatao ni lazima wafanyiwe replacement

  1. Zouma - Anacheza vizuri ila ni risk player
  2. Jorginho - Hana consistency
  3. Emerson - amepoa sana
  4. Giroud - apishe damu mpya, ni mfungajio mzuri lakini sio level ya ubingwa wa EPL
  5. Tammy Abraham - Ni mfungaji mzuri ila sio kwa level ya ubingwa wa EPL, labda kama lengo letu ni top 4 tu

Wachezaji wanaotakiwa
  1. Striker level ya magoli 20+ kwa msimu 80m
  2. CB level ya Silva 50m
  3. Kiungo mfungaji wa 10+ goals kwa msimu 50m
Angalau zitumike 180m
Tulimuuza Juan Matta kwa sababu kama hizi, alipokwenda ManU akawa tishio. Kwa sababu zako 4 inapaswa na Thiago naye apishe damu mpya. Kwenye mpira unaangalia uwezo wa mtu sio damu changa sijui mpya. Romario amestaafu akiwa na Umri gani? Patrick M'Boma? Madaraka Suleiman? Hawa wote walikuwa aged ila walikuwa wazuri kufunga. So walidumu. Kuwa na Backup kijana ni nzuri kwa future, ila ni ujinga kupoteza mechi, mna mfungaji eti kisa ni ana umri mkubwa!
 
Usimlinganishe Silva na OG wala OG na Kane au Haaland!!!!
OG ni striker na Silva ni CB
OG ni striker wa goli 7 au 8 akizidi sana 10+ kwa msimu Kane ni striker wa goli 20+ kwa msimu
Haaland ni striker wa goli 20+ kwa msimu
Hata wewe ungekuwa kocha ungekuwa na mahaba na Tammy na OG
Kama tunataka ubingwa OG hafai wala Tammy hafai
Matta sio level ya Ubingwa na ndio maana Man United wamefanya vizuri baada ya kumuweka benchi na kuwatumia zaidi vijana
OG tunamzungumzia kwa umri wake in relation na yeye peke yake, kuna striker mwingine katika age hiyo anafunga vizuri kama Ibrahimovich
So kama una agenda ya kumtetea OG usitumie mifano ya wengine binadamu hawalingani kabisa
Sorry sir sasa naanza kuelewa uwezo wako wa kuchambua mada ktk michezo sio mzuri
 
Well, umeikosa point yangu ya msingi. Kimsingi umejibu amacho sikusema. Soma tena taratibu hiyo post uielewe.
 
Usimlinganishe Silva na OG wala OG na Kane au Haaland!!!!
OG ni striker na Silva ni CB
OG ni striker wa goli 7 au 8 akizidi sana 10+ kwa msimu Kane ni striker wa goli 20+ kwa msimu
Haaland ni striker wa goli 20+ kwa msimu
Hata wewe ungekuwa kocha ungekuwa na mahaba na Tammy na OG
Kama tunataka ubingwa OG hafai wala Tammy hafai
Matta sio level ya Ubingwa na ndio maana Man United wamefanya vizuri baada ya kumuweka benchi na kuwatumia zaidi vijana
OG tunamzungumzia kwa umri wake in relation na yeye peke yake, kuna striker mwingine katika age hiyo anafunga vizuri kama Ibrahimovich
So kama una agenda ya kumtetea OG usitumie mifano ya wengine binadamu hawalingani kabisa
Sorry sir sasa naanza kuelewa uwezo wako wa kuchambua mada ktk michezo sio mzuri
Sijui kama umemuelewa mwamba mana ulichojibu ni tofauti na hoja yake, ni kwamba kwa sasa striker tulienae ni OG na Tammy, kwa nini wasitumike badala yake tunacheza bila striker. Wala hakuna aliposema kua amemfananisha OG na Kane wala Halland.

OG na Tammy sawa hawafai, sasa ndio tuliokua nao. Mana hata tukicheza bila strike ni yale yale tu bora kuwe na striker. timmo mwenyewe papara kibao bora OG tu akikukosa chance moja rahis anakufunga chance ngumu.
 
Umeelezea kile nimesema kwa lugha rahisi sana, shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom