NO04
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 1,754
- 1,246
Nani tena katupia!?2 now
Nani tena katupia!?2 now
Leo ni leo
Tafuteni pakujificha na leo.
Hii timu imeshakimbiwa imesubili washinde ndio wajee

Hii timu slowly inatoka top 4 ...
Kwa heli Chelsea , uefa ilikupenda ila Europa imekupenda zaidi

first eleven yako imepigwa 3 una nini cha maana sasaTimu yako inakufa kwa wanaoshuka daraja hukofirst eleven yako imepigwa 3 una nini cha maana sasa
Refer mshenzi sana hamalizi mechi
Penalty moja ya Werner ilikuwa halali ukiacha hiyo tuliyopewa ila magoli mawili aliyofunga Werner hazikuwa halali. Goli la kwanza offside na la pili alifunga kwa mkonoNasikia kapeta penalty nyingi na goli kwa upande wa chelsea. Je zilikuwa za halali?
Sijui kwanini Tuchel anamchezesha James back 3 halafu Azplicueta wingback
Alieanzisha hii kitu mpuuzi sana
Kwanini kocha aweki striker pale mbele hii game ni muhimu Sana kwetu kwa hizi kosa kosa angekuwa abraham au Giroud ni goal
Nasikia kapeta penalty nyingi na goli kwa upande wa chelsea. Je zilikuwa za halali?
Hapo unakosea. Nenda kasome malumbano ya pundits wengi, hiyo ilikuwa simple decision. Ni penalti hakuna jinginePenalti moja tofauti na hiyo ilipatikana kipindi cha kwanza ukiangalia unaweza sema ni halali ila binafsi ile sio penalti. Maana beki wa Leicester alikuwa akijaribu kuupiga mpira ili utoke katika eneo hatari ile anapiga Werner nae akaingiza mguu wake so ile sio penalti
Penalty moja ya Werner ilikuwa halali ukiacha hiyo tuliyopewa ila magoli mawili aliyofunga Werner hazikuwa halali. Goli la kwanza offside na la pili alifunga kwa mkono
Basi usikasirikeMkuu kwani ukitulia na Timu yako kule chini itakukost nini🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤪🤪