Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Wanaume tumekaa kimya kwenye uzi wetu tunaangalia mechi yetu, nyumbu na Arse8 mnajipitisha mmevaa kanga moja imelowa maji huku mnatutingishia wowooo na kutuambia THE BLUES kuleni tigo yetu.
Umepata nguvu baada ya waume zenu kuwaokoa sio?..sio mbaya
 
Watkins piga hawa mbuzi..

Yaani unashindwa kumfunga Villa ili ujiakikishie top four unawaza bahati nasibu za UCL..Pep atawararua kama hana akili nzuri..jumamosi sio mbal
Endelea kukariri.
 
Katika mpira kubebwa na kubebana kumo. Villa tulimbeba msimu uliopita hakushuka daraja, msimu huu mechi yao kabla na nyinyi alitusaidia kiukweli.

Mkitoka hapo nendeni mkalike page ya Spurs insta
Najua una hasira maana umeshindwa hata kuqualify kwenda kombe la UEFA la viti maalum.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom