Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Samahani Ze Bluz wenzangu, hatuna uwezo wa kumfunga Man City UEFA Cup final tarehe 29/05/2021
Inategemeana na kikosi kitakachoingia uwanjani. Akiendelea na hii ya kupanga timu bila striker, tutafungwa tu!
 
Nyie kenge mwaka huu uliona mzuri kwenu lakini hamtoamini macho yenu.

LEICISTER ANAWAPA HI
 
😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😄😄😄😄😄😅😅😆😆😆😎😎🙂☺😙😙😙😶😶🤨🤨🤗🤩🤩😘😍😎😊☺😗

Cc @ollchuga oc
 
Nyie mbwa kuna hatari ya kutocheza UEFA msimu ujao[emoji23].Mlikuwa na kelele sana, mara oooh TT ni noma, mara Ooooh hakuna team ya kuifunga chelsea ya TT, kikowapi Sasa[emoji23].
 
Nyinyi KENGE huu uzi wenu nakubali lakin mtauona mchungu LONDON BABY NYINYI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom