Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Mshamba tuArmartey again, hivi huyu dogo Armartey anatutafuta nn lakini?
Mshamba tuArmartey again, hivi huyu dogo Armartey anatutafuta nn lakini?
Kama hujui kizungu ongea tu kiswahili mkuuChelsea next season we killed every mbwa atakayekuja
Kwani hujamuelewa acha kuchukia timu yetu.......anamaanisha msimu ujao tutaua kila mbwa itakao katisha mbele yetu hususani manicity arsenal Man u Liverpool nkKama hujui kizungu ongea tu kiswahili mkuu
"Chelsea next season we killed every mbwa"Kwani hujamuelewa acha kuchukia timu yetu.......anamaanisha msimu ujao tutaua kila mbwa itakao katisha mbele yetu hususani manicity arsenal Man u Liverpool nk
Plz take.... "the massage not the messanger""Chelsea next season we killed every mbwa"
Rasi simba yupo anafundisha lugha ya malikia kwa bei sawa na bure
"Chelsea next season we killed every mbwa atakayekuja"Kwani hujamuelewa acha kuchukia timu yetu.......anamaanisha msimu ujao tutaua kila mbwa itakao katisha mbele yetu hususani manicity arsenal Man u Liverpool nk
Nimekushauri don't mind about the grammer just mind the meaning, hatuko kwenye English grammatical lessons.......we saying about the blueees of next season"Chelsea next season we killed every mbwa atakayekuja"
Hapo Word to word translation
"Chelsea msimu ujao tuliua kila mbwa atakayekuja"
Kafanyaje?Armartey again, hivi huyu dogo Armartey anatutafuta nn lakini?
Acha ushamba ww, kingereza sio lugha yetu. Kiswahili chenyewe tu hatukijui sembuse kingereza! Muhimu tu ujumbe umeeleweka. hayo mambo yako ya kidada yatulize.Kama hujui kizungu ongea tu kiswahili mkuu
EndoganChelsea ikifanikiwa ku cheza mpila na formant kama tulio cheza na Leicity jana, ubingwa CL utakua wetu kwa asilimia 80% kwa sababu zifatazo:
Mancity sio wazuri kuzuia magoli kama Leicity, defence yao sio imara kama ya leicity, hata jana walifungwa matatu na timu inayo shuka dalaja.
Manicity nguvu yao ni viuongo ndo wanao chezesha sana hiyo timu, tukiweka viungo wa nne pia kama Jana tutawanyanganya mpila ki rahisi.
Wanner hafungi sana ila anapanua sana uwanja kutegeneza na fasi kwa wengine kufunga, kwahiyo kuna wakati anacheza kama winga na wakati kama striker Manicity hawana uwezo kumzuia mtu mwenye kasi kama ya Timo.
Mancity ukiwabana hawanaga plan B. nikama Barcelona tena endogani na de Braina mkiwakaba vizuri hawana wabunifu zaidi ya hao, James na rudriga wanawaweza vizuri.
Chelsea inebidi ezuie deadballs na set pieces kama free kicks na corners makhrezi atawekwa kwaajiri ya dead balls. Foden ukimzuia kupata space ya kuchezea anapotea mazima, anategemea msaada kwa De braina na makhrezi, kwahiyo beki ya chelsea ina mfahamu vzri.
Kipi hujaelewa wewe mbona povu kwahiyo unaweka kiingereza cha nini, wewe chambua vyakwako acha ushabiki wa kijinga bwashaEndogan
De Braina
Makhrezi
Ndio vitu gani wewe ????
Nyie wachambuzi uchwara sijui mnatoka wapi ?
Kama unadhani ni rahisi hivo ,lets go ,10 days to time ..!
You will come and speak above f** king shiit
mshabiki wa arsenal uliyetua man cityEndogan
De Braina
Makhrezi
Ndio vitu gani wewe ????
Nyie wachambuzi uchwara sijui mnatoka wapi ?
Kama unadhani ni rahisi hivo ,lets go ,10 days to time ..!
You will come and speak above f** king shiit
Wanadhani kuongea kizungu ni ufahari. Ni afadhali kama unakijua!Kama hujui kizungu ongea tu kiswahili mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mambo yalikuwa hivi... Die hard Chelsea fan player View attachment 1790916