lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,705
- 25,948
UEFA walishatangaza rasmi kwenye mwezi wa tatu hiviHiyo michuano mbona sioni vyombo vya habari wakiiongelea? Wako kimya sana
UEFA walishatangaza rasmi kwenye mwezi wa tatu hiviHiyo michuano mbona sioni vyombo vya habari wakiiongelea? Wako kimya sana
Atakayepinga Mount kuwa Player of the Year ni MWEHU Tu!View attachment 1791981chelsea men's player of the year.
Anastahili 100% Mount mi mwenyewe namuelewa sana, anajituma kuanzia uchezaji mpk kwenye kusuffer kuutafuta mpira, pressing yake naielewa sana. Japo nimeona kwnye mitandao baadhi y mashabiki wanalalamika angepewa Ngolo au Kova.Atakayepinga Mount kuwa Player of the Year ni MWEHU Tu!
View attachment 1791981chelsea men's player of the year.
Mnapenda sana kuja kwenye nyuzi za wanaume. Mnawashwa sana.Huu UZI umeshaoza tarehe 29 tunauzika.
Kumbe na wewe ni mwanaume?Mnapenda sana kuja kwenye nyuzi za wanaume. Mnawashwa sana.
Umekuja kutafuta Bwana?Kumbe na wewe ni mwanaume?
London baby mkubwa wewe.
Hapana natafuta mke naona unafaa .Umekuja kutafuta Bwana?
Angalia usije ukabakwa hapa.Hapana natafuta mke naona unafaa .
Na LONDON baby???Angalia usije ukabakwa hapa.
Endelea kuwa nasi kwenye uzi huu...!Mkijichanganya hata top 4 mnaweza toka...