Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umama mwingine ni kumuweka pulisic benchi, hv pale kuna mchezaji gani wa kumuweka pulisic nje.?
 
Kweli TT ameshaanza mambo ya Lampard. Mwache UEFA asichukue na atoke top4, akili ndio itamkaa sawa.
Bora tutoke top four kuliko kupoteza UCL aisee, ila mechi muhimu kama hizi afu ety pulisic yupo nje zinanikera sana maamae
 
Nachukulia una uchungu na hasira. I will go easy on you.

Timu yangu sina cha kujivunia? Timu yangu ina trophies 47. Hii timu ina ngapi?

Hakuna sehemu nimewahi kumlaumu na siwezi kumlaumu kwakua timu hainihusu. Ambacho nimekisema kuanzia anafika ni kwamba kocha hana uwezo ambao mashabiki mnadai anao. Mchezaji au kocha mpya akija ni kawaida timu kupanda morali ghafla.

Mimi wewe ndiyo kwanza naona leo id yako kuna wenzako wakiongozwa na Ollachuga Oc hua wanapita nyuzi za watu kutukana. Kwahiyo ukiona watu tumeingia humu na hatuchambui chochote zaidi ya kashfa ni malipo ya mnayofanya nyinyi pia.

Mimi nishaandika juu ya ubovu wa Kepa na sababu zake, Werner na potential zake, game ya Chelsea na Barcelona, stats za Drogba na Henry kipindi hicho nafikiri haupo.

Punguza hasira, hapa kocha hamna. Na ucl mnaitema. Sioni ni kivipi mtapoteza top four ila ucl hamchomoki.
Wewe unamtaka kocha wa aina gani?? TT unamfananisha na kocha gani EPL au mpira umeanza kuushabikia Juzi,Mapinduzi aliyoyafanya ndani ya chelsea umeyaona au unaupofu wa macho..Ukishaingia kwenye mtego mara moja watu wanatumia nafasi basi kwisha
 
Hawa wahuni wa darajan wakichukua FA Leo sijui nitaweka wapi sura yangu ..


Eeeeh Mungu naomba maombi yangu yatimie ,kwa upendo wako na rehema zako naamini utaenda kutenda sawa sawa na mapenzi yako .


Kawape nguvu lecister city dhid ya hawa wavuta bangi wa londoni ...

Kuhusu uefa usijali ,sitakuwa na haja ya kukuachia ,yaani tutawatafuna sisi wenyewe ...


Camoooon leciscter city ...!!!!!
Nipe matokeo yao na Leicter
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom