Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

images (3).jpeg
 
Hapana, msimu uliopita kuanzia Corona hadi ligi ikaisha Zouma alicheza vizuri, ni abaada ya TT kuja na forms za Christensen na Rudiger zilipoboreka ndipo Zouma kakosa ujasiri, no concertation, anatake risk za hatari ambazo kwa kweli mimi sizipendi kabisa. Zouam awe anapewa mechi ambazo sio muhimu kwa sasa

Nakuunga mkono
 
Hawa wahuni wa darajan wakichukua FA Leo sijui nitaweka wapi sura yangu ..


Eeeeh Mungu naomba maombi yangu yatimie ,kwa upendo wako na rehema zako naamini utaenda kutenda sawa sawa na mapenzi yako .


Kawape nguvu lecister city dhid ya hawa wavuta bangi wa londoni ...

Kuhusu uefa usijali ,sitakuwa na haja ya kukuachia ,yaani tutawatafuna sisi wenyewe ...


Camoooon leciscter city ...!!!!!



Nimejikuta kucheka tu
 
Bado masaa 5 tumpelekee moto Leicester mpaka atoke uwanjani mwenyewe.
 
Mwenzako anapost makombe. Wewe hili ndio kombe lako? Kweli arsenal ni matakataka.
Nikisema nianze kupost kombe la kila Arsenal alilochukua na wewe upost kila ambalo chelsea kachukua wewe utaishia njiani huku mi nikiwa naendelea kupost.

London Is Red♨️♨️♨️
 
Nikisema nianze kupost kombe la kila Arsenal alilochukua na wewe upost kila ambalo chelsea kachukua wewe utaishia njiani huku mi nikiwa naendelea kupost.

London Is Red
Huna UEFA utaniambia ninu mimi. Timu inajiita kubwa halafu haina kombe la wakubwa hata moja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom