Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,163
- 17,067
Hahahahahaha Ollachuga Oc pole jamaa yangu. Muwe wavumilivu, mmekosa FA, mtakosa UCL, mtakosa pia top 4.
Ni kipigo tena. Haina kuulizaWana Chelsea tusibweteke ndiyo mpira ulivyo ukikosea kidogo basi unabutuliwa.
Karata haikuwa upande wetu. Hongera Leicester kwa kuchukua FA kwa mara ya kwanza.
Mpaka sasa Leicester wametufunga mara mbili katika msimu huu.
Tukutane jumatano Stanford Bridge.
Haisaidii.
Mkiambiwa ukweli kwamba nyinyi ni vinabo muwe mnaelewa.
Mendy is BestWana Chelsea tusibweteke ndiyo mpira ulivyo ukikosea kidogo basi unabutuliwa.
Karata haikuwa upande wetu. Hongera Leicester kwa kuchukua FA kwa mara ya kwanza.
Mpaka sasa Leicester wametufunga mara mbili katika msimu huu.
Tukutane jumatano Stanford Bridge.
Ni kipigo tena. Haina kuuliza
Mendy is Best
Kwanini ajampanga huyuView attachment 1786339
Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
Hakuna timu itaunlock defense ya Chelsea.Mkuu mimi binafsi nimekubali kuwa tumeshindwa mbele ya Leicester
Kocha wenu hana akili hiyo mnayoamini anayo.Sawa aina noma ndiyo mpira lakini. Pia naamini kocha ameona mapungufu ya wachezaji
Maplastic ya chelsea yamekimbia hauyaoni hapa hadi mwakani
Saka alipata goli hapa. Golini alikuepo huyo best unayemsema hapa.Mendy is Best
Kwanini ajampanga huyuView attachment 1786339
Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
Goli 4 bila? Na nani?Tupo mkuu.
Ila pia nakupa pole kwa kuchakazwa goli 4 bila. Umekuja kujifariji hapa karibu upunguze maumivu
LC wameshinda. Kisheria hakuna namna nyingine, na mfungaji wa goli kafunga goli zuri. Ila rebound ilikuwa ni mkono wa makusudi kabisa. Ile ilikuwa foul na red card.Wenger amesuggest hicho kilichopo leo kisiwe offside. Mpaka yatakapokubaliwa mapendekezo hayo huyo Chillwell leo yupo offside.
Bado hamna kocha wa kuunlock potential ya Werner. Tuchel ni muongeaji mno, anawaahidi makubwa anadhani hii ni Ligue 1 hiyo ni EPL siku mnapigwa 5 ilibidi ajifunze kubaki na akiba ya maneno badala yake anazidi kubwabwaja.
Vinabo ni vibonde
Kepa kakosea wapi? Lile shuti hata angekaa nani haudaki. Ile velocity na angle sio mchezo. Makosa yalikuwa kwa refa maana beki iliisha relax wakijua kashika wazi kabisa!Tatizo la kepa hajui kujipanga golini pia mashuti ya mbali hawezi kudaka kabisa.
Kama unakumbuka zile mbunduki mbili za Benzema Second leg angekuwa Kepa zote zilikuwa goli
Southern Highland alisema mna Tammy na Werner.LC wameshinda. Kisheria hakuna namna nyingine, na mfungaji wa goli kafunga goli zuri. Ila rebound ilikuwa ni mkono wa makusudi kabisa. Ile ilikuwa foul na red card.
Tuchel ana mapungufu yake. Mojawapo ni kuwa mzito kupiga sub mapema. Sub za Giroud na Odoimechi iliyopita na hii zilipaswa kuja early second half, sio dk ya 80.
Ifikie mahali TT akubali kwa sasa Chelsea haina mfungajikama Giroud. Nimelisema humu sana na linajidhihirisha.
Tamba baba..Maplastic ya chelsea yamekimbia hauyaoni hapa hadi mwakani
Tammy na Werner hawajamfikia OG. Hiyo ndiyo assessment yangu kipindi cha FL na hata sasa. Timoni mzuri wa kupika haswa kutokanana spidi yake na uwezo wa kuwauza mabeki. Ila sio mfungaji.
Lile shuti ili kipa adake ni labda ahisi mtu atashuti so asogee ule upande kabla hajapiga. Na Tielemans ni right footer kipa anajua huyu yupo comfortable kuleta mpira upande wangu wa kushoto na siyo kulia.Kepa kakosea wapi? Lile shuti hata angekaa nani haudaki. Ile velocity na angle sio mchezo. Makosa yalikuwa kwa refa maana beki iliisha relax wakijua kashika wazi kabisa!