Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tangu kusikia ile speech ya TT nilishasema Sina imani na hii fainali, mm kama shabiki wa chelsea nmefurahia matokeo.
 
Hv ni mm pekee yangu nmemuona Kante kazingua kiasi.? Anapewa pasi mara tatu mfululizo tena akiwa pekee yake katikati ya uwanja akiwa hana adui wa kumpa shida lakini mpira unarudisha nyuma kwa kipa.
 
Hv ni mm pekee yangu nmemuona Kante kazingua kiasi.? Anapewa pasi mara tatu mfululizo tena akiwa pekee yake katikati ya uwanja akiwa hana adui wa kumpa shida lakini mpira unarudisha nyuma kwa kipa.
Huyu huyu Kante aliyecheza na Madrid?
 
Mara ooh mara ya mwisho Arsenal kutufunga nyumbani tulichukua FA na Ucl.

Nawaambia humu hamna kocha wanaleta ubishi wa kitoto.

Hili la kwanza. Bado kwa City
Nimekufatilia mda mrefu humu kwenye hili jukwaa sioni uchambuzi wako wowote zaidi ya mapenzi na timu yako ambayo huna cha kujivunia

Huwezi kupeleka lawama kwa Tuchel ambaye kaja kuifundisha Chelsea katikati ya msimu ikiwa ktk hali mbaya mpaka kuipeleka fainal

Vitu vingine ni bora ukawa kimya utaonekana wa maana kuliko kuandika upupu humu timu yako tu inakushinda kuchambua
 
Mkuu sometimes makocha wanafeli wenyewe. Unajua unaenda kucheza Fainali then unamueka pazia golini. Inaumiza but ndiyo mpira. Alimwamini Kepa sasa apambane na hali yake
Et TT alisema Kepa ametupeleka fainali hvy ni lazima acheze fainali.
 
Afadhali kufungwa zile mechi mbili za ligi na tutoke top four kuliko kupoteza hizi fainali.
 
...baba napenda mademu.... napenda kulewa...navuta na ndumu

Hahahahaha

Mamaaeee nyie umbwaa
 
Nimekufatilia mda mrefu humu kwenye hili jukwaa sioni uchambuzi wako wowote zaidi ya mapenzi na timu yako ambayo huna cha kujivunia

Huwezi kupeleka lawama kwa Tuchel ambaye kaja kuifundisha Chelsea katikati ya msimu ikiwa ktk hali mbaya mpaka kuipeleka fainal

Vitu vingine ni bora ukawa kimya utaonekana wa maana kuliko kuandika upupu humu timu yako tu inakushinda kuchambua
Nachukulia una uchungu na hasira. I will go easy on you.

Timu yangu sina cha kujivunia? Timu yangu ina trophies 47. Hii timu ina ngapi?

Hakuna sehemu nimewahi kumlaumu na siwezi kumlaumu kwakua timu hainihusu. Ambacho nimekisema kuanzia anafika ni kwamba kocha hana uwezo ambao mashabiki mnadai anao. Mchezaji au kocha mpya akija ni kawaida timu kupanda morali ghafla.

Mimi wewe ndiyo kwanza naona leo id yako kuna wenzako wakiongozwa na Ollachuga Oc hua wanapita nyuzi za watu kutukana. Kwahiyo ukiona watu tumeingia humu na hatuchambui chochote zaidi ya kashfa ni malipo ya mnayofanya nyinyi pia.

Mimi nishaandika juu ya ubovu wa Kepa na sababu zake, Werner na potential zake, game ya Chelsea na Barcelona, stats za Drogba na Henry kipindi hicho nafikiri haupo.

Punguza hasira, hapa kocha hamna. Na ucl mnaitema. Sioni ni kivipi mtapoteza top four ila ucl hamchomoki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom