Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Kwani kile ni kikosi cha city ? ..Zile mechi tulizowagonga Pep alipoteza makusudi kwa sababu anajua anacho fanya.
Nakuonea huruma unavyotapa
ile ni team b kama iliyocheza Jana tu ..
Kwani kile ni kikosi cha city ? ..Zile mechi tulizowagonga Pep alipoteza makusudi kwa sababu anajua anacho fanya.
Nakuonea huruma unavyotapa
Hapana, msimu uliopita kuanzia Corona hadi ligi ikaisha Zouma alicheza vizuri, ni abaada ya TT kuja na forms za Christensen na Rudiger zilipoboreka ndipo Zouma kakosa ujasiri, no concertation, anatake risk za hatari ambazo kwa kweli mimi sizipendi kabisa. Zouam awe anapewa mechi ambazo sio muhimu kwa sasaMkuu mimi kwa wachezaji wote wa chelsea nimekosa imani na Zuma tu🤪🤪. Kutokana na zile back basi zake.
Zuma akicheza vizuri mechi moja mechi inayofata anaharibu tena sana![]()
Aliumia kwenye mechi na City, unakumbuka alipozidiwa na Gabriel Jesus, alianguka vibaya akaumia kwenye misuli nyuma ya goti ndio nadhani wanaita hamstring injury ila mechi ya ligi ijayo atakuwepoKikosi moto
Christensen anasumbuliwa na injury gani?
Konote anaenda Liverpool. Done deal
Bila kumnunua HARRY KANE Hakuna usajili hapo, bora hiyo pesa urudishwe iongozewe dirisha lijalo Kane aletwe darajani.
Huyu konate sikaribia anajiunga na liverAccording to The Sun, Abramovich and the board are very impressed with the work Tuchel has done and are preparing a £150million war chest in preparation for next season.
Two of these targets could be Chelsea player next season
- Jose Gimenez CB from Atletico Madrid
- Ibrahima Konate, RB from Leipzig
- Niklas Sule CB from Bayern Munich’s
- Erling Haaland, Striker from Borussia Dortmund
- Romelu Lukaku. Striker from Inter Milan
Dany levy kumuuza kane kwenda chelsea ni ngumu sanaKonote anaenda Liverpool. Done deal
Bila kumnunua HARRY KANE Hakuna usajili hapo, bora hiyo pesa urudishwe iongozewe dirisha lijalo Kane aletwe darajani.
Ikitokea makubaliano yakaenda vizuri atakuja ChelseaDany levy kumuuza kane kwenda chelsea ni ngumu sana
Mh.kwa team hiii ya Chelsea atawaachia lingi tuuu ila makombe mengine awamu hi hatutaki mchezoHawa wahuni wa darajan wakichukua FA Leo sijui nitaweka wapi sura yangu ..
Eeeeh Mungu naomba maombi yangu yatimie ,kwa upendo wako na rehema zako naamini utaenda kutenda sawa sawa na mapenzi yako .
Kawape nguvu lecister city dhid ya hawa wavuta bangi wa londoni ...
Kuhusu uefa usijali ,sitakuwa na haja ya kukuachia ,yaani tutawatafuna sisi wenyewe ...
Camoooon leciscter city ...!!!!!
kulingana na maombi yako ni kwamba FA atabeba Lecister City ila UEFA atachukua ChelseaHawa wahuni wa darajan wakichukua FA Leo sijui nitaweka wapi sura yangu ..
Eeeeh Mungu naomba maombi yangu yatimie ,kwa upendo wako na rehema zako naamini utaenda kutenda sawa sawa na mapenzi yako .
Kawape nguvu lecister city dhid ya hawa wavuta bangi wa londoni ...
Kuhusu uefa usijali ,sitakuwa na haja ya kukuachia ,yaani tutawatafuna sisi wenyewe ...
Camoooon leciscter city ...!!!!!
Kwasasa maombi yako yanaishia humu humu Lester kuchukua FA ni ngumu Sanakulingana na maombi yako ni kwamba FA atabeba Lecister City ila UEFA atachukua Chelsea
Hebu iangalie hiyo back line iliyoruhusu 3 goals. Watakuja hapa wakuambie Kelvin De bruyne hakuwepo.Mkuu ebu nenda uokoe timu yako kule. Timu inataka kuchukua UEFA imerusu magoli mawili kwa New Casto kwelikamsaidie Gardiola mbinu ya kupambana na chelsea
mkuu acha upotoshaji, line up ya jana hii hapaHebu iangalie hiyo back line iliyoruhusu 3 goals. Watakuja hapa wakuambie Kelvin De bruyne hakuwepo. View attachment 1785694
Hivi wewe takataka uliangalia mpira jana yuko wapi aliyefunga hat trick ,our young striker torres ..!Hebu iangalie hiyo back line iliyoruhusu 3 goals. Watakuja hapa wakuambie Kelvin De bruyne hakuwepo. View attachment 1785694









Tar 29 mtatoa milio yote ya chumbani.Hivi wewe takataka uliangalia mpira jana yuko wapi aliyefunga hat trick ,our young striker torres ..!
Sijui huwa mnaangalia mpira wapi kudadedekkkkkkki![]()
Mkuu huyu jamaa hajielewi ,kumbe huwa haangalii hata mpira ,anasubili wanaume tumpe update huku jf ...mkuu acha upotoshaji, line up ya jana hii hapa
View attachment 1785813