Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Saka alipata goli hapa. Golini alikuepo huyo best unayemsema hapa.

Huyo naye ni kinabo tu.

Chelsea hamna kipa wa kuzuia lile shuti. Msijifariji.
Siyo Chelsea tu, hakuna kipa wa kuzuia ile kitu!
 
Tammy na Werner hawajamfikia OG. Hiyo ndiyo assessment yangu kipindi cha FL na hata sasa. Timoni mzuri wa kupika haswa kutokanana spidi yake na uwezo wa kuwauza mabeki. Ila sio mfungaji.

Tammy ana tatizo la kukosa magoli,na hana uzoefu mkubwa bado. Hii inatuacha na OG as only clinical and experienced striker
Mimi bado naamini Werner ili aonekane anafaa anahitaji kusogezwa karibu na goli na pembeni yake awepo ST mwingine.

Hizi trial and error zitamfanya aonekane leo yuko vizuri kesho hovyo.
 
Tamba baba..

Siku hizi umejua michezo haujifichi jifichi hadi wiki tatu zipite.
images (3).jpeg
 
Mimi bado naamini Werner ili aonekane anafaa anahitaji kusogezwa karibu na goli na pembeni yake awepo ST mwingine.

Hizi trial and error zitamfanya aonekane leo yulo vizuri kesho hovyo.
Kwa kasi ya Timo na Striking ya Giroud, wakianza ni moto. Ziyech pia anapaswa kuanza kwa sababu ya pasi mpenyezo. Then sub Capt. America
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom