Tumecheza vizuri lakini tumefungwa.
Lawama anastaili 100% kocha,, sidhani kama fainali ni mechi ya kufanya rotation. Unatakiwa uende na strong team yako..
Kwa sasa strong team ni hii..
Goalkeeper - Mendy.
Back three - rudiger, silva, azpilicueta/christiansen (hao wawili inategemeana na vimo vya wachezaji wa timu pinzani).
Wingback - chillwell, azpilicueta/james.
Midfielders - jorginho & kante
Forwards - mount, havertz, Werner...
Kwa jana TT alikosea sana.. even though kipa wa Leicester alikua on top form..
Ila bado naamini fainali sio majaribio (na hapa ndo ninapomkubali guardiola , hata ikiwa ni carabao cup atakueka known 1st eleven)