Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Arteta ndio ana akili ndio maana yupo nafasi ya 10
Ila unatoaga maboko mara uonyeshe kikosi cha city cha uongo mara udai vitu vya uongo. Hivi hata unaangalia mpira? Unajua chelsea yuko nafasi ya ngapi? Jana tu umeona picha ya msimamo wa ligi leo umesahau kila kitu.

Omba tenda ya kufundisha chelsea
 
Chelsea yuko nafasi ya 10 Arsenal yupo nafasi ya nne.
 
Wewe unamtaka kocha wa aina gani?? TT unamfananisha na kocha gani EPL au mpira umeanza kuushabikia Juzi,Mapinduzi aliyoyafanya ndani ya chelsea umeyaona au unaupofu wa macho..Ukishaingia kwenye mtego mara moja watu wanatumia nafasi basi kwisha
Kinabo mwingine huyu.

Mashabiki wa chelsea wengi hua hamfuatilii mpira hua mnafuatilia timu yenu wengi Thom mmeanza kumjua baada ya kuja chelsea.

Ole alivyochukua united walienda mechi ngapi bila kufungwa? Hayo siyo mapinduzi ni morale booster. Morale ikikata ndiyo mara huku unapigwa 5, unafungwa na Arsenal unasema umebahatishwa. Unafungwa na Leicester unasema umeonewa.

Vinabo
 
Kweli TT ameshaanza mambo ya Lampard. Mwache UEFA asichukue na atoke top4, akili ndio itamkaa sawa.
TT ni kocha mzuri sana, Tatizo la chelsea ni umaliziaji.
Ili chelsea ifunge goli 2 inabidi ipate nafasi 10, tupate mtu kama Haaland.
Hii Fainali ya UCL sidhani kama tutachomoka.
 
Siujui ndiyo maana nimeuliza
Basi umeuliza swali la kijinga.

Mpira hauendi kwa kanuni hizo eti kwa sababu A anamfunga B na B anamfunga C basi A anaweza kumfunga C.

Otherwise kuna watu wangekuwa invisible.
 
Basi umeuliza swali la kijinga.

Mpira hauendi kwa kanuni hizo eti kwa sababu A anamfunga B na B anamfunga C basi A anaweza kumfunga C.

Otherwise kuna watu wangekuwa invisible.
Mimi sijataka utumie hiyo kanuni kwasababu kwa kanuni hiyo nyinyi si mmetoka kumfunga? Nimetaka uangalie mechi mlizopoteza zilikua na tension gani na namna kocha wenu amezikabili na hii fainali kwa unavyomuona ni kweli mnashinda?
 
Our next two games zitatuambia kama tunashinda fainali.
 
Chelsea have not won a single Premier League title without John Terry at the club. They've also lost 5 of our last 7 finals since he left the club.
 
Chelsea have not won a single Premier League title without John Terry at the club. They've also lost 5 of our last 7 finals since he left the club.
Just a coincidence.....Terry huyu huyu alitukosesha kuchukua kombe alivo tereza katika kupiga peneti ya Man u.
 
Hili kombe la FA sijui tuna nuksi nalo ama chama husika hakitaki tubebe hilo kombe. Kwa miaka mitano tumefanikiwa kuingia fainali 4 ila tumefanikiwa kushinda fainali moja tu. Ila hizi fainali mbili yaani mwaka jana na mwaka huu zina utata mtupu.
 
Nimekufatilia mda mrefu humu kwenye hili jukwaa sioni uchambuzi wako wowote zaidi ya mapenzi na timu yako ambayo huna cha kujivunia

Huwezi kupeleka lawama kwa Tuchel ambaye kaja kuifundisha Chelsea katikati ya msimu ikiwa ktk hali mbaya mpaka kuipeleka fainal

Vitu vingine ni bora ukawa kimya utaonekana wa maana kuliko kuandika upupu humu timu yako tu inakushinda kuchambua
TTuchel anatakiwa apate mtu wa magoli sio akina Werner wanaofunga kwa kubahatisha.
 
Tumecheza vizuri lakini tumefungwa.

Lawama anastaili 100% kocha,, sidhani kama fainali ni mechi ya kufanya rotation. Unatakiwa uende na strong team yako..

Kwa sasa strong team ni hii..

Goalkeeper - Mendy.
Back three - rudiger, silva, azpilicueta/christiansen (hao wawili inategemeana na vimo vya wachezaji wa timu pinzani).

Wingback - chillwell, azpilicueta/james.

Midfielders - jorginho & kante

Forwards - mount, havertz, Werner...

Kwa jana TT alikosea sana.. even though kipa wa Leicester alikua on top form..

Ila bado naamini fainali sio majaribio (na hapa ndo ninapomkubali guardiola , hata ikiwa ni carabao cup atakueka known 1st eleven)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom