Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kocha anafaa apewe nafasi au u manager maana ana deserve kwa kweli, hii mechi ilibidi wapotezee hawa jamaa ila nilishangaa pale anamtoa mata anamuweka Kalou badara ya Essien alafu alivyomtoa Drogba na kumuweka Torres maana nilikuwa namuona Torres mvivu sana wa kutafuta mpira tofauti na drogba ila na kweli aliingia na kuonyesha million zake hamsini zina kazi.

Hongereni sana Chelsea na final nitawa support pamoja siwapendi.

Sawa kabisa....hata siku moja sijawahi kumuamini Salomon Kalou........Kalou anweza akabaki yeye na goli peke yake na bado akakosa......ana uzurimmoja though......ni mtibuaji na huwa ana hold mipira kiaina fulani hivi...ingawaje naye ni rahisi kunyang'anywa..........
 
Hivi ni kwanini wachezaji wengi wa Uingereza hawana mbio?.........hii kitu inawa-cost most of the time......Chelsea inabidi wawe makini watakapo kutana na either Real au Munich.......maana kuna vijamaa vina mbio sana.....
 
jamani sikuamini chelsea wanaweza kukaba na ku-defense kiasi kile ..... du kweli football ni tactic za specific playoff game
 
Sawa kabisa....hata siku moja sijawahi kumuamini Salomon Kalou........Kalou anweza akabaki yeye na goli peke yake na bado akakosa......ana uzurimmoja though......ni mtibuaji na huwa ana hold mipira kiaina fulani hivi...ingawaje naye ni rahisi kunyang'anywa..........

Umeandika nini hapa? Anamiliki mpira na rahisi kunyang'anywa! I'm confused
 
Umeandika nini hapa? Anamiliki mpira na rahisi kunyang'anywa! I'm confused

Msamehe bure, furaha ya ushindi tu hiyo imemchanganya.

Pongezi zenu mafans wa wazee wa "daraja la kibiti", mmejitahidi kuiwakilisha vyema England. Inabidi mkomae ili mchukue ndoo ya EPL, vinginevyo champions league ya msimu ujao mtakuwa watazamaji.

Vile vile nadhani Roberto Di Matteo anastahili kukabidhiwa rasmi mikoba ya kuinoa chelsea.
 
Peasant, Rev. Kishoka, Mentor, Masanilo na mkuu mwenyewe Invisible na wadau wote wa Darajani...

...Bia tamu aisee nyie acheni, Reggae inapiga kwa mbali, wife yupo, Chelsea wamezaa na mtu....hehehehe!!

Seriously, what else can you ask for?

Congratulations to every last one of you for keeping up the faith in the lads.

Wamesema sanaaaa!!!...Wametukana sanaaa!!!...sijui tumezeeka, tutapigwa bao tano...oohhh!!...nyambaff zengine mingi

Jeeee?...Leo imekuaje?.... Idimi, Belo ... Gang Chomba ....mpo?...

IN CHELSEA WE BELIEVE TO THE LAST MAN...COME WHAT MAY!!!!

See ya'll in Munich!

pssst...kabla sijasahau kuna hii....

7111781461_220a24ff1f_z.jpg

Siku nzuri sana hii 😉 Ogah Rev. Kishoka

aaah mi niko poa bluz forever

Bingwa ni Chelsea

.....aiseee!!! mmerudi kwa kasi.....msiondoke tena jamani tuliwa miss kelele zenu!...
Hongereni sana :A S 41:
 
di matteo kuishangaza dunia baada ya kuitoa timu ya uefa poleni sana mashabiki wa barca kwa mkopo anzeni kurudi kwenye matimu yenu..
 
Nimefurahishwa sana na ushindi wetu wa jana usiku. lakini nna hasira sana na kiitwacho chama cha magamba na utendaji wa taasisi zilizo chini ya serikali yake! Nimehakikisha nafika home by saa 9.30 usiku, nshakula, oga, na familia nzima imepiga uzi wa chelsea., tunakaa chini kuanza kuangalia game. nshawahikikishia mechi itakuwa ngumu sana ila I believe in Chelsea. Ghafla bin vuuu, Tanesco wanakata umeme!!!! giza mtindo mmoja. Nimewalaani sana ccm jana na watu wao! hongera tena kwetu chelsea!!!
 
Barca imebebwa haibebeki.
red card, penat bado tu chali
Jana ilikuwa mechi ya nane Mesi kukutana na Chelsea, na katika mechi hizo hajawahi kuifunga Chelsea, historia ilimhukumu ndio maana akakosa penati. Pep toka awe kocha Barca hajawahi kuifunga Chelsea na mechi ya jana ilibidi washinde ndio waweze kusonga mbele, ilikuwa ngumu sana kwa Barca.
 
@ab-Titchaz,
Mie nipo sana. Laana (historia) ya UEFA CL trophy ni kwamba, timu moja haiwezi kuchukua kombe hili mara 2 mfululizo, ndicho kilichotokea jana. Hata kama Barca wangeshinda jana, aidha kombe lingeenda Real Madrid ama Bayern Munchen. Kumbuka kwamba 2008 na 2009 Man U ilicheza fainali za kombe hili, lakini imeshinda mara moja.

By the way, nawapongeza kwa moyo mweupe sana the Blues, sie Man U tuliwanyang'anya tonge mdomoni mwaka 2008 pale Urusi. Mwaka huu zamu yao kulibeba.
 
di matteo kuishangaza dunia baada ya kuitoa timu ya uefa poleni sana mashabiki wa barca kwa mkopo anzeni kurudi kwenye matimu yenu..
Tell them.
Huenda hata kombe la ligi kuu ya Hispania wakakosa mwaka huu
 
Msamehe bure, furaha ya ushindi tu hiyo imemchanganya.

Pongezi zenu mafans wa wazee wa "daraja la kibiti", mmejitahidi kuiwakilisha vyema England. Inabidi mkomae ili mchukue ndoo ya EPL, vinginevyo champions league ya msimu ujao mtakuwa watazamaji.

Vile vile nadhani Roberto Di Matteo anastahili kukabidhiwa rasmi mikoba ya kuinoa chelsea.
fainali itakuwa kazi kubwa maana ivanovic,meireles,ramires na terry hawatacheza kutokana na kadi...ila fainali ni fainali chochote kinaweza kutokea.
 
@ab-Titchaz,
Mie nipo sana. Laana (historia) ya UEFA CL trophy ni kwamba, timu moja haiwezi kuchukua kombe hili mara 2 mfululizo, ndicho kilichotokea jana. Hata kama Barca wangeshinda jana, aidha kombe lingeenda Real Madrid ama Bayern Munchen. Kumbuka kwamba 2008 na 2009 Man U ilicheza fainali za kombe hili, lakini imeshinda mara moja.

By the way, nawapongeza kwa moyo mweupe sana the Blues, sie Man U tuliwanyang'anya tonge mdomoni mwaka 2008 pale Urusi. Mwaka huu zamu yao kulibeba.
Hapo kwenye red ni timu moja tu iliyowahi kuchukua mara mbili, AC Milan ilichukua 1989 na 1990
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom