Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu usiku wa leo kama barca linakuuma kweli unaweza ukamuangalia waifu lakini kwenye sura ya waifu ukaona torres amekuja ghafla. Think! excellent think

Mweeh! una vituko Kloro...leo ningekuwa na mchuchu hapa angenitolea nje mdushelele, yaani kanywea huko aliko kama vile Barca ndugu zake..halafu tena ye ni mshabiki wa Arsenal ule ugonjwa mwingine!! kweli football is fun!
 
yaani mimi hata kulala sitaki...nakesha leo kwa furaha...!

Sijui uko wapi..ila mie sasa nimetulia kwenye bathtub na glass ya red wine na kamuziki pembeni!! Nacheka na comments za hii mechi hapa JF..Life is Good!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sura ya toress ikiniijia spid ya ku-MALIMA inaongezeka...

Mzee UNA-MALIMA huku bunduki wala huihofii itazngua hata kama mshirika anakuppeta vp kama vyenga vya barca lakini unajua tu utatikisa nyavu zaidi ya mara moja,chelsea oyeee,na oyeee yenyewe pia oyeee!!!
 
Mwaka huu umewatupa mkono but you still have a very good team hopefully 2013 will be a better year as compared to 2012.
Finger Xed mkuu

Mweeh! una vituko Kloro...leo ningekuwa na mchuchu hapa angenitolea nje mdushelele, yaani kanywea huko aliko kama vile Barca ndugu zake..halafu tena ye ni mshabiki wa Arsenal ule ugonjwa mwingine!! kweli football is fun!

hehehe BJ, hope uko poa aisee! hapo barca jamaa nam support lakini hapo gunners naona jamaa mshauri ajiunge na JF kabisa, kule JF dokta kuna madawa kibao ya presha yatamsaidia. Watabiri wanasema ni rahisi sana CCM kung'oka madarakani kuliko arsenal kuchukua kombe miaka 10 ijayo.

nilishakushauri sana usichabikie wauza mikate,ona sasa!

Mkuu hapa wauza mikate ni nani? defending champions?
 
leo tores el nino kazamisha ndoto za nessi n co kuingia final mara ya pili mfululizo sijui mchezaji wa dunia atchukua kiatu cha uefa...
 
eti oooh fainali barca na real madrid.........na game ya kesho ......... yeyote anayeweza kuitabiri...!

Jitahidi kupunguza munkari sweke 34,kesho sio suala la kutabiri ni suala la kutangaza kuwa Madrid atamutimua Bayern kwenye nusu fainali
 
Last edited by a moderator:
leo wameaibishwa sana.....

hawakuaibishwa, walitawala mchezo kwa kiwango cha kutosha kushinda ile game, let us be honest and fair.

shida ya Barca...ni very conservative na footballing policy yao...keep and pass the ball mpaka nafasi itokee, huwa hawana plan B, kwa hiyo ukicheza na watu wanaojua kucheza zonal marking kama Chelsea, laizima wapate tabu.

ukitaka Barca wakuchane mbavu jifanye unataka kuwaiga kucheza their own game, na wewe unakabia juu badili ya kufanya zonal marking, lazima ulie like that Man U na Arsenal huwa wanalizwa sana tu.

Barca hawakabiwi juu...ni Zonal Marking(Glenn Hoddle anaiita BasketBall system) plus long balls counter attacking football, pasi tatu mpira uko golini kwao unawasha, unarudi kukaba.
 
Kumbe FA nawe unapitaga huku? Ndio mara ya kwanza kukuona, kama huna chama basi nina membership cards za Arsenal nikupitishie ili ujiunge na chama letu hapa jamvini? 🙂🙂

Chama ninazo mbili, ndizo zilikuwa zikiumana leo.

Sijacheka sijalia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom