Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Barca nje ! Finaile Madrid vs. Chelsea. Bingwa Madrid

Bado nimeushikilia msimamo wangu kuwa Fainali ni Madrid vs. Chelsea na bingwa mwaka huu ni Madrid (rejea post yangu #7413 tarehe 19.04.2012 saa 21:17 kwenye uzi huu)

Hongera sana Chelsea.
 
Torres afufukia camp nou...messi leo kawekwa kwapani kama atavyowekwa shoga yake ronaldo kesho!fainali ni chelsea vs bayern!bingwa bayern wakinyanyulishwa kombe na goli la gomez!
 
kwenye fainali wavae tena hizo jezi zao za leo. sio bure mie sijawahi ziona hizo tangu!
 
Hehehehe imekula kwako leo Mkuu KLQ...Pole sana jaribuni tena mwakani 🙂🙂

Mkuu hii inauma sana, La liga yenyewe anaichukua Morinyo, na leo hapa blues washatusambaratisha.
Bayern nawachukia sana lakini for this season nainua mikono hili cup walinyakue watoto wa hitler tu.
No to Chelsea
Big No to Madrid
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nusu fainali ya kwanza nililamba dola 100 na leo nimelamba dola 100...nitakesha niki-MALIMA LEO

mechi iliyopita nilibana mapvmbv mpaka yakawaka moto leo pia!fanya japo dola 5 mkuu nikanunue diclopar,panadol hazikufaa last time
 
Mkuu hii inauma sana, La liga yenyewe anaichukua Morinyo, na leo hapa blues washatusambaratisha.
Bayern nawachukia sana lakini for this season nainua mikono hili cup walinyakue watoto wa hitler tu.
No to Chelsea
Big No to Madrid
Mwaka wa Mourinho huu....
 
Mkuu hii inauma sana, La liga yenyewe anaichukua Morinyo, na leo hapa blues washatusambaratisha.
Bayern nawachukia sana lakini for this season nainua mikono hili cup walinyakue watoto wa hitler tu.
No to Chelsea
Big No to Madrid

Mwaka huu umewatupa mkono but you still have a very good team hopefully 2013 will be a better year as compared to 2012.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom