Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watu hamjitokezi mpaka mshinde. Sredi ilikua imedoda. Hongereni wakuu. Mmewarahisishia shughuli wanaocheza leo.
 
.....hahaha, usijekimbia kijiwe! .....komaeni kama sie 'wakazi wa mabondeni' mafuriko kwake mtoni, yanapita tu....

Umewaacha wapi kina Peasant, masanilo, aljuniortz, ......? karibu tena,....

Mwadila Mbu; nipo kaka...tunakimbizana na maisha....!!!
 
fainali itakuwa kazi kubwa maana ivanovic,meireles,ramires na terry hawatacheza kutokana na kadi...ila fainali ni fainali chochote kinaweza kutokea.

David Luiz and Garry Cahill will be back ! Ramires will be missed hasa ila master tactician Di Mateo knows best ! Tuna Essien na dogo Oriol Romeu
 
article-0-12BE8A9D000005DC-572_468x286.jpg
2949206_20120425055625.jpg
 
am speechless...! the CL and FA are ours...no doubt!
 
fainali itakuwa kazi kubwa maana ivanovic,meireles,ramires na terry hawatacheza kutokana na kadi...ila fainali ni fainali chochote kinaweza kutokea.

kwani wewe uliamini tungeshinda bila central difenders? Ivyo pia wapo wengi wa kuziba nafac, mf. Mabeki kuna luiz,ferera,bosingwa,cole,betrand, midfield, esien,mikel,lampard,mata,malouda,romeu foward drogba,tores, kalou hiyo mkuu chelsea ina wachezaj weng wazur.
 
Barca, kama Arsenal, hawana plan B.
Hata wakiwa wanaelekea kufungwa wanacheza the same style mpaka mwisho.
Ukitaka Barca wasifunge, wabane kati ili wapekele mpira kwenye wings.
They don't cross at all. Hata kona zao ni fupi ispokuwa ile ambayo ilisababisha goli lao la kwanza.
Pomoja na kungwa, lakini mpaka sasa hakuna timu yoyote ambayo imeweza kucheza total football na kuifunga.
 
Hongereni sana Chelsea kwa kuingia fainali lakini mnatakiwa ku-badilisha approach ili mbebe kombe.Timu mtakayokutana nayo fainali Bayern au Madrid wanacheza tofauti kabisa na Barca.Kibaya zaidi mtawakosa wachezaji muhimu kama Terry,Ivanovic,Ramires na Meireles,nawatakia kila la heri kombe lije England.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom