Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jitahidi kupunguza munkari sweke 34,kesho sio suala la kutabiri ni suala la kutangaza kuwa Madrid atamutimua Bayern kwenye nusu fainali

Mpira unafurahisha sana, unaweza kubandika tangazo lako jamaa akaja akalichana na usifanyekitu. Bayern wamewatimua Madrid.

Hongereni Bayern.
 
Sawa kabisa....hata siku moja sijawahi kumuamini Salomon Kalou........Kalou anweza akabaki yeye na goli peke yake na bado akakosa......ana uzurimmoja though......ni mtibuaji na huwa ana hold mipira kiaina fulani hivi...ingawaje naye ni rahisi kunyang'anywa..........

Umeandika nini hapa? Anamiliki mpira na rahisi kunyang'anywa! I'm confused

...ndio maana nilisema "kiaina fulani hivi"........kwa sababu husomi na kuelewa ndio maana unachanganyikiwa.........
 
Msamehe bure, furaha ya ushindi tu hiyo imemchanganya.

Pongezi zenu mafans wa wazee wa "daraja la kibiti", mmejitahidi kuiwakilisha vyema England. Inabidi mkomae ili mchukue ndoo ya EPL, vinginevyo champions league ya msimu ujao mtakuwa watazamaji.

Vile vile nadhani Roberto Di Matteo anastahili kukabidhiwa rasmi mikoba ya kuinoa chelsea.

...acha kuweweseka na washamba Masanilo na wale waliompa "like" wewee........watu mnasoma lakini hamuelewi!.... halafu mnatoa conclusion!......aisee.......
 
...ndio maana nilisema "kiaina fulani hivi"........kwa sababu husomi na kuelewa ndio maana unachanganyikiwa.........

Communication is an art! Writing to convey a message is a skill! No wonder you end up confusing yourself! Tuyaache hayo ! Ningefurahi zaidi kuifunga RM fainali kuliko vibonde Bayen .
 
bora munich kuliko madridi morinho angetufungia domo.
 
.....mcheza kwao hutunzwa....fainali Munich!

Bayern Munich Vs "Vizee vya darajani"...
mtake msitake siku hiyo naishabikia Bayern, jiandaeni!
 
.....mcheza kwao hutunzwa....fainali Munich!

Bayern Munich Vs "Vizee vya darajani"...
mtake msitake siku hiyo naishabikia Bayern, jiandaeni!

Usijekimbia kwa aibu. Si unajua nini kitafuatia endapo tukichukua ndoo ya CL na Arsenal mkamaliza wa nne kwenye ligi? Hii ni sababu tosha kukufanya uwe Bayern siku hiyo....hahahhahaha!!
 
Communication is an art! Writing to convey a message is a skill! No wonder you end up confusing yourself! Tuyaache hayo ! Ningefurahi zaidi kuifunga RM fainali kuliko vibonde Bayen .

Akili ni Mali......usipozitumia....unaonekana kituko kwani......usipotumia uwezo wako wa kupembua yaliyoandikwa .........hutaelewa hata yale madogo utayo-yasoma........I'm sorry......I stand by what I wrote....kama lugha hukuielewa basi hata kwenye kuwasiliana na wenzako.....ambao pia ni wa "kumeza" tu ili mradi Masanilo kaandika........wote huishia kuwa vituko..............

Well, back to Chelsea............kama nilivyoelezea huko nyuma........Chelsea watafanya vema......iwe ingekuwa Real au Munich......
 
.....mcheza kwao hutunzwa....fainali Munich!

Bayern Munich Vs "Vizee vya darajani"...
mtake msitake siku hiyo naishabikia Bayern, jiandaeni!

Wewe Mbu....

Hamjaanza leo chuki zenu nyie watani khaaa!!!

...huo nd'o ukware wa kushabikia jirani yako akimshughulikia mkewe.... ukozmeni wa kipuzi sana...:A S 41: :target: :A S 41:

KAA KWAKO....ARRGGHHHHHH!!!!....:doh:
 
Usijekimbia kwa aibu. Si unajua nini kitafuatia endapo tukichukua ndoo ya CL na Arsenal mkamaliza wa nne kwenye ligi? Hii ni sababu tosha kukufanya uwe Bayern siku hiyo....hahahhahaha!!

....dahh.....e bana mkitwaa CL London haitakalika kwa kelele zenu...ur v.noisy neighbours bana....aheri mlikose tu...
 
Wewe Mbu....

Hamjaanza leo chuki zenu nyie watani khaaa!!!

...huo nd'o ukware wa kushabikia jirani yako akimshughulikia mkewe.... ukozmeni wa kipuzi sana...:A S 41: :target: :A S 41:

KAA KWAKO....ARRGGHHHHHH!!!!....:doh:
....ahhh, kelele zenu mkishinda ni balaa!
Sina raha kabisa hapa nikifikiria ngebe zenu mkirudi na kombe.

Acha niendelee na dua zangu mbaya...
 
all is set kwetu kuchukua CL kwa mara ya kwanza this year. Tungepata shida sana na Mourhino kwa kuwa anatujua vizuri na yeye mwenyewe ni mzuri sana. But kwa Bayern, kwa kweli fate this year imekakaa kikwety kwetu. CHa msingi ni kutokuwa na complancency ya kuwa tumeshampiga mbabe wao duniani basi hakuna wa kututisha tena. kimkakati, ni vizuri sana wachezaji ambao hawatacheza kwenye fainali ya CL, watumike kikamilifu na watubebee FA, ili wale wengine wazame zaidi kwenye CL. Tukimaliza na msimu na makombe mawili, ambayo hatukutugemewa kabisa kuyapata, bila shaka utakuwa msimu mzuri sana kwetu. and let us make all the noise...ni haki na halali yetu kabisaaaa!!!!!
 
M4_20120426_1419_Champions-League-final_Bayern-Munich-v-Chelsea.png
Vikosi vitakuwa hivi.
 
Akili ni Mali......usipozitumia....unaonekana kituko kwani......usipotumia uwezo wako wa kupembua yaliyoandikwa .........hutaelewa hata yale madogo utayo-yasoma........I'm sorry......I stand by what I wrote....kama lugha hukuielewa basi hata kwenye kuwasiliana na wenzako.....ambao pia ni wa "kumeza" tu ili mradi Masanilo kaandika........wote huishia kuwa vituko..............

Well, back to Chelsea............kama nilivyoelezea huko nyuma........Chelsea watafanya vema......iwe ingekuwa Real au Munich......

Aiseee!
 
Jamani nimejikalia kimya napiga ramli ili Wacha na vijiba roho wenzao waendelee kutuletea picha nzuri nzuri! Najiandaa kwenda Munich!
 
Jamani nimejikalia kimya napiga ramli ili Wacha na vijiba roho wenzao waendelee kutuletea picha nzuri nzuri! Najiandaa kwenda Munich!

Achana na Ramli kiongozi! Chelsea imara na Leo tumesajili jembe lingine Marko Marin Kutoka Werder Bremen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom