Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

shida ya Barca...ni very conservative na footballing policy yao...keep and pass the ball mpaka nafasi itokee, huwa hawana plan B, kwa hiyo ukicheza na watu wanaojua kucheza zonal marking kama Chelsea, laizima wapate tabu
Hata wachambuzi wa mchezo huu kwenye TV1 ya Spain walisema hivyo hivyo - hawana Plan B. Ndio sababu waliyokuwa wanaiadhibu R.Madrid lakini angalau kwa mara hii Mourinho aliwatolea uvivu.
 
halafu hata ile penalt waliyopewa Barca ni ya kipuuzi sana......Fabregas alijiangusha kirahisi sana.....na ndio maana wakakosa.........waongo sana hawa Barca...........leo eti wanajifanya kusema eti.....cheating is bad!.......bad my foot!.......mi namkumbuka sana kocha wao....naye wakati wake alikuwa ni cheater wa ajabu.....pamoja na kwamba alikuwa mchezaji mzuri..........
Barca wanafaa wakacheze Basketball......maana nimafundi wa ku-screen na ku-cheat.....kule zinaruhusiwa..........damn it!
 
Leo nili support chelsea pamoja nilikuwa siwapendi, mwaka jana hawa Barcelona wametufunga Final bila aibu na siwapendi sana nime enjoy sana, sasa naona kila team itakuwa inawapatia hawa barcelona.......usipowapa chance basi mpira hawachezi zaidi ya pasi tu
 
halafu hata ile penalt waliyopewa Barca ni ya kipuuzi sana......Fabregas alijiangusha kirahisi sana.....na ndio maana wakakosa.........waongo sana hawa Barca...........leo eti wanajifanya kusema eti.....cheating is bad!.......bad my foot!.......mi namkumbuka sana kocha wao....naye wakati wake alikuwa ni cheater wa ajabu.....pamoja na kwamba alikuwa mchezaji mzuri..........
Barca wanafaa wakacheze Basketball......maana nimafundi wa ku-screen na ku-cheat.....kule zinaruhusiwa..........damn it!

Hawa jamaa wasipopewa chance basi wanakuwa hawana mpya kabisa, I mean wamecheza kwenye goli la chelsea karibia ya daika 40 nzima ila walikuwa wanashindwa kupiga kwa mbali, ndio maana ime wacost leo, pumbavu zao siwapendi sana hawa jamaaa......
 
Goli la 8 Torres anaifunga Barca kwa mechi 11

Di Matteo alifanya vyema kumuingiza Torres...(Drogba alikuw aamechoka mbaya baada ya kuhamia kucheza defence na pia acheze mbele).....kwani jamaa ana historia ya kuwafunga mara nyingi wakutanapo naye........
 
Chelsea anachukua FA na pia anachukua U-Champions -L...........it does not matter aje Real au Munich.......ndio mtamjua Torres ni nani kwenye soka...........
 
Kocha anafaa apewe nafasi au u manager maana ana deserve kwa kweli, hii mechi ilibidi wapotezee hawa jamaa ila nilishangaa pale anamtoa mata anamuweka Kalou badara ya Essien alafu alivyomtoa Drogba na kumuweka Torres maana nilikuwa namuona Torres mvivu sana wa kutafuta mpira tofauti na drogba ila na kweli aliingia na kuonyesha million zake hamsini zina kazi.

Hongereni sana Chelsea na final nitawa support pamoja siwapendi.
 
Chelsea anachukua FA na pia anachukua U-Champions -L...........it does not matter aje Real au Munich.......ndio mtamjua Torres ni nani kwenye soka...........

Mkuu wachezaji naona wa muhimu hawapo hasa mkiingia na Bayern itakuwa ngumu sana kwenu kufanya vizuri.
 
zq4nDCYzAAAAABJRU5ErkJggg==
 
Haiwezekani European Tuesday ikatike sijatia neno;
They made it: THE PRIDE OF LONDON
 
Haiwezekani European Tuesday ikatike sijatia neno;
They made it: THE PRIDE OF LONDON
 
Chama ninazo mbili, ndizo zilikuwa zikiumana leo.

Sijacheka sijalia.

...Bora yako wewe...yule BW yuko hoi bin taabani baada ya kipigo hiki cha 3-2 nasikia usingizi umegoma kabisa anapindukapinduka kitandani huku na kule na majogoo ndio yanakaribia kuwika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom