Atakuwepo mzeeNi kweli kabisa, ila leo inabidi tu force tupate ushindi. Kwa namna yoyote ile inabidi tushinde.
Hivi Ziyech si atakuwepo uwanjani kushuhudia mtanange ama?
Atakuwepo mzeeNi kweli kabisa, ila leo inabidi tu force tupate ushindi. Kwa namna yoyote ile inabidi tushinde.
Hivi Ziyech si atakuwepo uwanjani kushuhudia mtanange ama?
Giroud [emoji91][emoji91][emoji91] Giroud anaendelea kumuumbua Lampard
Hata ushinde 100-0 point Ni 3, Norwich kangongwa Sana hana Radha kabisa ndomaan tumepiga kamojaNyie taka taka mnashindaje goli moja dhidi ya team iliyoshuka daraja [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Mpira ule mbovu ukutane na mm nakulamba mkono [emoji23][emoji23][emoji23]Hata ushinde 100-0 point Ni 3, Norwich kangongwa Sana hana Radha kabisa ndomaan tumepiga kamoja
Kivipi anamuumbua si ameanza 1st eleven?Giroud [emoji91][emoji91][emoji91] Giroud anaendelea kumuumbua Lampard
Hahaha angalia msimamo tena vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]Came on shelfied chama langu.
Olla chuga leo mnapigwa mapema
Kama mlivyotoa kwa Mourinho sio..Leo Chelsea mtatoa kote (back and forth)
Hehehe msimamo utabaki vile vileeePakti nzima imetumika leo.., @Ollarchuga Papaa Gx wapi??? Kelele nyiiingi
Sisi huwa tunapiga tuu ..angalia jana Norwich kakalia ..anayekuja naye nu kipigo tu hakuna namnaOlachuga hutamuona hapa mpaka baada ya siku mbili
Wewe huna ata uwakika wa kucheza europa tuliaaHahaaaa
Hivi bado mna wolves , na Liverpool anfiled ?