Kushinda njaa, sio.., mamameeeBado dk 45 nzima. Lolote laweza kutokea!
Nitakubali matokeo ya mwisho, ila kwa sasa ukiangalia na ball possesion bado uwezekano wa kushinda upo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaaa leo mnabakwaaaa kavu tenaaa
Watu wenye matusi naishiaga kuongeza tu kwenye ignore listKushinda njaa, sio.., mamameee