Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,165
- 5,621
Hahahaaa! United wanafungwa leo...Come on sheffield united![]()
Hahahaaa! United wanafungwa leo...Come on sheffield united![]()
Giroud mzee yule, anahitaji kupumzika.Sijui Lampard anampendea Nini Abraham? Si niliwaambia wadau lazima Leo atamuanzisha Abraham na kweli Abraham leo kaanza, hiv Lampard anapataje jeuri ya kumuweka benchi Giroud ambaye yupo kwenye form ya Hali ya juu?
Giroud mzee yule, anahitaji kupumzika.
Ataingia, kocha anajua kuwatumia wachezaji. hope goli lililopita litampa nguvu ya kufunga zaidi leoSijui Lampard anampendea Nini Abraham? Si niliwaambia wadau lazima Leo atamuanzisha Abraham na kweli Abraham leo kaanza, hiv Lampard anapataje jeuri ya kumuweka benchi Giroud ambaye yupo kwenye form ya Hali ya juu?
Hahahaaa! Subiri maumivu ya utotoni...Kila lakheri timu yangu ya utotoni Sheffield United.
GGMU
Hahahaaa sawa mkuu tuwe pamoja hapa.Hahahaaa! Subiri maumivu ya utotoni...
Pamoja sana!Hahahaaa sawa mkuu tuwe pamoja hapa.
GGMU
Mapema sana kushangilia. Subiri majibu yanakuja...Mambo yamekwiva
Timu yangu ya Utotoni 1-0 Chelsea
GGMU
Ni kweli mkuu ngoja tuone.Mapema sana kushangilia. Subiri majibu yanakuja...