Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea bado tuko pagumu sana
Tukipata point 3 zaidi tuna uhakika wa 90% ya kubaki top 4
Sasa kupata hizo points inahitaji extra miles commitment ya wachezaji

Utabiri wa top 4

3. Man United – 66 points
4. Chelsea – 64 points

Europa League qualification
5. Wolves – 62 points
6. Leicester City – 60 points
7. Tottenham – 59 points
8. Sheffield United – 59 points
 
Chelsea bado tuko pagumu sana
Tukipata point 3 zaidi tuna uhakika wa 90% ya kubaki top 4
Sasa kupata hizo points inahitaji extra miles commitment ya wachezaji

Utabiri wa top 4

3. Man United – 66 points
4. Chelsea – 64 points

Europa League qualification
5. Wolves – 62 points
6. Leicester City – 60 points
7. Tottenham – 59 points
8. Sheffield United – 59 points
Tukipata point 3 tu katika gem zijazo tutakuwa na uhakika 100% wa kubaki top 4, kumbuka gem ya mwisho wanakutana Man u vs Leister city
 
HONGERENI SANA SANA WANA BLUES KWA POINT 3 MUHIMU.

Kwa uchovu wa jana nilishindwa kuangalia game, but nilikuwa na imani kabisa tutashinda.

Zimebaki mechi mbili ngumu Liverpool & Wolves. Tutazivuka kwa Zaburi ya 23.
Wolves atajitahidi kukaza sana. Matokeo ya leo ya Burnley na Wolves yatadetermine kwa asilimia kubwa kati yetu na wao.
 
Bado timu haikucheza vizuri
Pamoja na kufunga Giroud kaboa sana
Mipira haiendi mbele na zikienda mara chace zinapotea hovyo
Natamani krosi za Willian na James pamoja na za Azpi na Alonso zingekuwa zinamkuta mtu kama Timo
Kwa mchezo tuliocheza leo tukikutana na Wolves au Liverpool tumeliwa
Tuombe tu Mungu Kante atakuwemo
Chelsea ikitoka top 4 sitaumia hata kidogo
Timo umemuona akicheza?usije hapa ukaamkataa ukaanza kusema bora ya Giroud tena, we shukuru umeoata point3 dhidi ya timu dhaifu iliyokwishapoteza matumaini kwa ushindi finyu
 
FB_IMG_15948027445456985.jpeg
 
Best scenario kwa LFC akitoa droo zote tupo top 4 hata tukifungwa mechi zote
Bad scenario kwetu LFC akishinda mechi moja na kutoa droo zote ili tuwe top 4 lazima tushinde angalau mechi moja
Very bad scenario kwetu, LFC akishinda mechi mbili kati ya tatu sisi ni lazima tushinde mechi zote mbili
The same scenario kwa Man United
 
Kuna jamaa mmoja kachambua kuwa Chelsea inakuwa na clean sheet wanapocheza Zouma na Rudiger kwa pamoja. Inawezekana kuwa ni kweli kocha ahakikishe mechi zilizobaki hiyo pair haivurugwi
Walicheza pamoaj kwa mechi saba, kati ya hizo tumeshinda 5
 
Cheltako tayari kashamaliza ushindi wake jana subirini vipigo mechi zote
 
Top 4. 1 Liverpool 2.man City 3.Man utd 4.wolverhampaton . Hifadhini hawa maneno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom