Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie blues viazi kabisa
Mnampa liverpool ubingwa na anakuja kuwatoa top four next week

Malipo ni hapa hapa dunian
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
108958675_10157793496298517_8014069746997588690_o.jpg
.
 
Salah, Firminho (ginger pressing striker) na Mane

Mnachomokaje chomokaje hapo

Salah anataka kiatu cha dhahabu, Klop anataka rekodi ya 100+points

Malizeni msala na Puki kwanza leo, Cantiwel hawezi kuwaacha salama
 
Hii Norwich ingekuwa na neno United mbele 3 za kwenye jezi yao zingesadifu leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Newcastle United[emoji460][emoji460][emoji460]
Westham United[emoji460][emoji460][emoji460]
Sheffield United [emoji460][emoji460][emoji460]

Norwich United?????
 
Kachambue kwanza katimu kako huko kwamba mtapenyaje kwa Palace, Westham na LFC
 
Hii Norwich ingekuwa na neno United mbele 3 za kwenye jezi yao zingesadifu leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Newcastle United[emoji460][emoji460][emoji460]
Westham United[emoji460][emoji460][emoji460]
Sheffield United [emoji460][emoji460][emoji460]

Norwich United?????
Ebu nenda kapambane kuitafuta nafasi ya kushiriki europa
 
Wale Southampton wanaitwa "The Saints" maana yake Watakatifu wa Bwana"
Na wale wengine wanaitwa "Red Devils" maana yake Mashetani wekundu
Tatizo ni mashetani walicheza na watakatifu
Tangu lini Shetani akamshinda Mtakatifu wa Bwana?
Kwa hiyo Chelsea ni shetani mkubwa maana kapigwa mara 3 mfululizo msimu huu na man u.
 
Bado tu unandoto ya kushika nafasi 3&4
Salah, Firminho (ginger pressing striker) na Mane

Mnachomokaje chomokaje hapo

Salah anataka kiatu cha dhahabu, Klop anataka rekodi ya 100+points

Malizeni msala na Puki kwanza leo, Cantiwel hawezi kuwaacha salama
 
Hatma yako ipo kwa Leicester city
Nyie blues viazi kabisa
Mnampa liverpool ubingwa na anakuja kuwatoa top four next week

Malipo ni hapa hapa dunian
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya nyumbu ngojea huone mwisho wake utakuaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom