Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sheffield imekosa goli mbili za wazi. Kuna moja ilipigwa chop na ya pili imepaishwa. Chelsea ilibidi iwe inaongozwa tano.
 
Lampard ni Mwanasiasa, wanaokubali kauli yangu wanyoshe mikono juu!

Kwa taarifa za nyuma ya kapeti ni kuwa lazima mechi ijayo Chelsea ishinde 3-1 au 2-0 ili ajifiche kwenye kichapo cha leo, daaah..! Haya ni mambo ya Arsenane kabisa jamani duuuh!
Kumbe Arsenane nilifikiri Arsenal.Bahati yako maana kuna jamaa hapa siku nyingi hajapata msisimko
 
Jezi yenyewe inajieleza goli mlizopigwa
IMG_3038.JPG
 
Inaumiza kwakweli. Nashindwa hata kuandik ni maumivu gani niliyonayo.

Ila tuzidi kuwa na Imani na Timu yetu nina imani tutamaliza ligi tukiwa nafasi nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom